Atomic orbital
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 374
- 484
Atakuwa 200 na kitu hukokwa wote unajua anashika namba ngapi?
sasa hao wasanii kweli unawafananisha na WCB?Hyo Mimi nimetoa mfano kuonyesha ni kwa jinsi gani wasanii wana jibrand halafu unakuta wana maisha ya kawaida sana
sawa zabibu kibaImekamilika 95% kwenye makaratasi
sawa zabibu kiba square [emoji2957][emoji2957][emoji2957]Atakuwa 200 na kitu huko
Nazungumzia kwa level yao kama wote wasanii.......Mnapiga kelele sana na huyo msanii wenu.....Basi tamfuta msanii yeyote wa USA aliyetoka 2009 kama Domo.....Meek Mills katoka 2011 basi basi tufanye comparison.Yani kabisa unamfananisha Mond na kina Dre?[emoji41]
Stop hating and get inspired
Hizi taarifa zako umezitoa wapi? Za kwangu ni kulingana na taarifa ya TCRA.correction
Juhayna zaghalulu-51%
Nasibu Advil Juma-49%
Ali Khatib Dai-1%
Kichwa yako haiko sawa mkuu kumlinganisha diamond na wasanii wa USA...Nazungumzia kwa level yao kama wote wasanii.......Mnapiga kelele sana na huyo msanii wenu.....Basi tamfuta msanii yeyote wa USA aliyetoka 2009 kama Domo.....Meek Mills katoka 2011 basi basi tufanye comparison.
View attachment 1603919
We jamaa hamna kazi yani unamfananisha msanii wa Tanzania na wasanii wa Marekani. Hivi unajua wasanii wa Marekani wanalipwa dola ngapi kwa show au katika tuzo zao wanapokea mkwanja kiasi gani au wanapata pesa ngapi kuwa ma-brand ambassador? Ukishayajua hayo utajua unachofanya ni kupoteza tu muda.Nazungumzia kwa level yao kama wote wasanii.......Mnapiga kelele sana na huyo msanii wenu.....Basi tamfuta msanii yeyote wa USA aliyetoka 2009 kama Domo.....Meek Mills katoka 2011 basi basi tufanye comparison.
View attachment 1603919
Mbona maflaiova ya mfugale yalivyojaa maji kwa mvua ya siku moja mkaleta mapicha ya uk,germany ,us kwamba na wao madaraja yao yanajaa maji? kwani Domo ana tofauti gani na Dre au Meek Mill? Ungekuwa ushakaa USA ungeona ni watu wa kawaida sana hao....Kwani USA hakuna Homeless/Omba omba?Kichwa yako haiko sawa mkuu kumlinganisha diamond na wasanii wa USA...
Mshenz[emoji28][emoji28][emoji28] kibanda umizasio towes ni tower pumbavu
Diamond platinumz net worth yake NI $25 milkionNazungumzia kwa level yao kama wote wasanii.......Mnapiga kelele sana na huyo msanii wenu.....Basi tamfuta msanii yeyote wa USA aliyetoka 2009 kama Domo.....Meek Mills katoka 2011 basi basi tufanye comparison.
View attachment 1603919
na Mimi pia ni TCRAHizi taarifa zako umezitoa wapi? Za kwangu ni kulingana na taarifa ya TCRA.
sawa zabibu kiba[emoji2957][emoji2957][emoji2957]Mshenz[emoji28][emoji28][emoji28] kibanda umiza
Wanaliwaga vijambio hao.....Celebrity worship syndrome ni ugonjwa wa akili ambapo mtu hutokea kumpenda mtu maarufu kupita kiasi.
(Kufatilia na kusifia/kupenda kila kitu anachofanya kwenye kazi yake na maisha binafsi.)
Hiyo taarifa ni ya tarehe ngapi?na Mimi pia ni TCRA
Labda 25m Dolla za Zimbabwe.Diamond platinumz net worth yake NI $25 milkion
Ukijumlisha hapo unapata ngapi Boss?correction
Juhayna zaghalulu-51%
Nasibu Advil Juma-49%
Ali Khatib Dai-1%
Mwongo huyo,hata ukijumlisha zinazidi,si unajua kukimbia umande hata kupika data hajui.Hizi taarifa zako umezitoa wapi? Za kwangu ni kulingana na taarifa ya TCRA.
Tatizo anazidisha mapenzi hadi kwenye ukweli. Hapo alitaka tu Mond aonekane ana hisa nyingi, akasahau kujumlisha kabla ya kuandika. 😂Mwongo huyo,hata ukijumlisha zinazidi,si unajua kukimbia umande hata kupika data hajui.
Mkuu mwambie aache utoto. Anasema 95% done hiyo ni MICHORO. Kwa maana MICHORO haijafika 100% complete!! Kaburu kapewa maelekezo akakamilishe MICHORO!!Kweli ambaye amepewa kapewa tuu, na huu msemo umejidhihirisha mbele yaDiamond Platinumz kuwa ndo msanii ana yejituma kwa bidii zote kuliko msanii yeyote hapa bongo.
Pia ndo msanii ambaye anamiliki TV na radio Africa nzima pekeake.
Pia ndo msanii ambaye Tv na radio yake kwa Mara ya kwanza vitakuwa vinapatikana kwenye miliki yake, na sio kama radiona Tv Kama clouds, efm na nyingine zinazotegemea leasing area ili kuoperate.
HAIL TO DIAMOND PLATINUMZ THE G. O. A. T[emoji122]