Good news: Diamond athibitisha Wasafi Tower kukamilika 95%

Good news: Diamond athibitisha Wasafi Tower kukamilika 95%

Yani kabisa unamfananisha Mond na kina Dre?[emoji41]

Stop hating and get inspired
Nazungumzia kwa level yao kama wote wasanii.......Mnapiga kelele sana na huyo msanii wenu.....Basi tamfuta msanii yeyote wa USA aliyetoka 2009 kama Domo.....Meek Mills katoka 2011 basi basi tufanye comparison.

MM.jpg
 
Nazungumzia kwa level yao kama wote wasanii.......Mnapiga kelele sana na huyo msanii wenu.....Basi tamfuta msanii yeyote wa USA aliyetoka 2009 kama Domo.....Meek Mills katoka 2011 basi basi tufanye comparison.

View attachment 1603919
We jamaa hamna kazi yani unamfananisha msanii wa Tanzania na wasanii wa Marekani. Hivi unajua wasanii wa Marekani wanalipwa dola ngapi kwa show au katika tuzo zao wanapokea mkwanja kiasi gani au wanapata pesa ngapi kuwa ma-brand ambassador? Ukishayajua hayo utajua unachofanya ni kupoteza tu muda.
 
Kichwa yako haiko sawa mkuu kumlinganisha diamond na wasanii wa USA...
Mbona maflaiova ya mfugale yalivyojaa maji kwa mvua ya siku moja mkaleta mapicha ya uk,germany ,us kwamba na wao madaraja yao yanajaa maji? kwani Domo ana tofauti gani na Dre au Meek Mill? Ungekuwa ushakaa USA ungeona ni watu wa kawaida sana hao....Kwani USA hakuna Homeless/Omba omba?
 
Mwongo huyo,hata ukijumlisha zinazidi,si unajua kukimbia umande hata kupika data hajui.
Tatizo anazidisha mapenzi hadi kwenye ukweli. Hapo alitaka tu Mond aonekane ana hisa nyingi, akasahau kujumlisha kabla ya kuandika. 😂
 
Kweli ambaye amepewa kapewa tuu, na huu msemo umejidhihirisha mbele yaDiamond Platinumz kuwa ndo msanii ana yejituma kwa bidii zote kuliko msanii yeyote hapa bongo.

Pia ndo msanii ambaye anamiliki TV na radio Africa nzima pekeake.

Pia ndo msanii ambaye Tv na radio yake kwa Mara ya kwanza vitakuwa vinapatikana kwenye miliki yake, na sio kama radiona Tv Kama clouds, efm na nyingine zinazotegemea leasing area ili kuoperate.

HAIL TO DIAMOND PLATINUMZ THE G. O. A. T[emoji122]
Mkuu mwambie aache utoto. Anasema 95% done hiyo ni MICHORO. Kwa maana MICHORO haijafika 100% complete!! Kaburu kapewa maelekezo akakamilishe MICHORO!!
Kwa nini asisubiri angalau ujenzi ufike nusu ndo atangaze?
Kumbuka kuna mengi watu wanasubiri (mfano ile ndege bado haijaja, Rolls Royce nayo bado, nk)!!
 
Back
Top Bottom