Atomic orbital
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 374
- 484
Watu wa kigoma mnapenda sana ubishisawa zabibu kiba square [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa kigoma mnapenda sana ubishisawa zabibu kiba square [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Unatia aibu wewe,Mbona maflaiova ya mfugale yalivyojaa maji kwa mvua ya siku moja mkaleta mapicha ya uk,germany ,us kwamba na wao madaraja yao yanajaa maji? kwani Domo ana tofauti gani na Dre au Meek Mill? Ungekuwa ushakaa USA ungeona ni watu wa kawaida sana hao....Kwani USA hakuna Homeless/Omba omba?
Na ndo msanii mwenye hela kuliko wote Africa kama sikoseiMkuu namkubali diamond ila apo kusema kwamba ndo mwanamuziki anamiliki radio na television afrika sio kweli kuna mwanamuziki anaitwa salif keita yupo mali uko ana media house tangu miaka ya 90 na ana mpunga mrefu tu.
Sure mkuu anatokea mpuuzi hajui kitu anasema keita sio maarufu nimeamua kutomjibu.Na ndo msanii mwenye hela kuliko wote Africa kama sikosei
Acha upunga wewe.wewe ni mpuuzi na mpumbavu mkubwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Celebrity worship syndrome ni ugonjwa wa akili ambapo mtu hutokea kumpenda mtu maarufu kupita kiasi.
(Kufatilia na kusifia/kupenda kila kitu anachofanya kwenye kazi yake na maisha binafsi.)
the g o a t hail hail hatari sana kufanya kazi kwa bidii zote na kujituma masonic rule 4Kweli ambaye amepewa kapewa tuu, na huu msemo umejidhihirisha mbele yaDiamond Platinumz kuwa ndo msanii ana yejituma kwa bidii zote kuliko msanii yeyote hapa bongo.
Pia ndo msanii ambaye anamiliki TV na radio Africa nzima pekeake.
Pia ndo msanii ambaye Tv na radio yake kwa Mara ya kwanza vitakuwa vinapatikana kwenye miliki yake, na sio kama radiona Tv Kama clouds, efm na nyingine zinazotegemea leasing area ili kuoperate.
HAIL TO DIAMOND PLATINUMZ THE G. O. A. T[emoji122]
Nyie ndio mnatia aibu mwanamme mzima na MAMBUPU na midevu hadi kwenye "MATTER CORE" unalipwa kumsifia mwanamme mwenzako.Unatia aibu wewe,
afu mtu mzima sasa[emoji41]
Non Sense!!!!!!! TCRA si wameweka wazi wamiliki na hisa za wasafi? Mbona unajitoa ufahamu? Mnaona JF wamejaa maburula kama nyinyi? Huyo msaniii wenu kupata vijishare vya wasafi mikelele mwaka mzima,je angekuwa na 100% share si tusingelala? Ebu mwambie awagugo kina Dre , Diddy ,Birdman walivyo na ma investment ya hatari halafu hawana YOWE hata kidogo!! Huyo msanii wenu ana utajiri wa kibongo tu.
Ndio maana kuna vitu vingi haviko wazi hata wale ma managers wake watatu wanasema wao sio wasindikazaji wana share sasa hatujui share zipi katika hiyo 45%? je 45% wanaongelea katika capital au profit? Mimi nadhani pale kuna jambo limejificha ni lazima waoneshe ok kampuni thamani yake 2 billion capital wewe ulichangia billion cash chanzo kipi mkopo au? na wale kina Tale share zao ni zipi katika nini maswali mengi mimi naamini kuna watu wanaficha pesa pale kama kichaka. nchi yoyote ukiweka kampuni yako public basi lazima ikaguliwe ilitokea huko India kampuni SAHARA siku alipoweka public kampuni zake mbili madudu yaliyotoka huko hatari.45% sio mchezo aisee kwa biashara kama ile.
Uyu ni juma lokole lazma afanye kazi yake .
Celebrity worship syndrome ni ugonjwa wa akili ambapo mtu hutokea kumpenda mtu maarufu kupita kiasi.
(Kufatilia na kusifia/kupenda kila kitu anachofanya kwenye kazi yake na maisha binafsi.)
Kwanini na wewe usibarikiwe na Lucifer?dogo kabarikiwa sana na Lucifer sijui alimtolea sadaka gani maana sio kwa upendo huu
Sallam sk na Babu tale Ni mamenager wa diamond kwenye upande wa label sio kwenye media na pia ujue sallam sk na Babu tale Ni waajiriwa tu wa diamond kwenye music onlyNdio maana kuna vitu vingi haviko wazi hata wale ma managers wake watatu wanasema wao sio wasindikazaji wana share sasa hatujui share zipi katika hiyo 45%? je 45% wanaongelea katika capital au profit? Mimi nadhani pale kuna jambo limejificha ni lazima waoneshe ok kampuni thamani yake 2 billion capital wewe ulichangia billion cash chanzo kipi mkopo au? na wale kina Tale share zao ni zipi katika nini maswali mengi mimi naamini kuna watu wanaficha pesa pale kama kichaka. nchi yoyote ukiweka kampuni yako public basi lazima ikaguliwe ilitokea huko India kampuni SAHARA siku alipoweka public kampuni zake mbili madudu yaliyotoka huko hatari.
Hizi dharau mkuu 😂😂😂Sasa unataka awe na utajiri wa kiUSA wakati yeye yuko bongo!!! Serikali yako tu ya TZ haifikii pato la Dr. Dre kwa mwaka 2019...