Good news: Diamond athibitisha Wasafi Tower kukamilika 95%

Sallam sk na Babu tale Ni mamenager wa diamond kwenye upande wa label sio kwenye media na pia ujue sallam sk na Babu tale Ni waajiriwa tu wa diamond kwenye music only
Hayo ya kuajiriwa unasema wewe wao wameshafanya interview na Salam alisema wajumbe wa board na wana share. tuseme uko sawa kampuni yoyote lazima ioneshe pesa yake imepatikana wapi na hisa ni ngapi.
 
Hayo ya kuajiriwa unasema wewe wao wameshafanya interview na Salam alisema wajumbe wa board na wana share. tuseme uko sawa kampuni yoyote lazima ioneshe pesa yake imepatikana wapi na hisa ni ngapi.
Sallam sk alisema hivyo akizungumzia mgawo wa show atakazopiga diamond hapo kwenye music ila yeye kwenye media hausiki ndio maana hata promo afanyi yeye ana online tv inaitwa dizzim online hiyo yakusema ana hisa wa Wasafi media umeitolea wapi?
 
Haya yote angeweza epukana nayo kama angefanya mambo kimya kimya au angalau atangaze kitu kikishakamilika badala ya kupenda utoto wa kutamba na show off!!
Yoyote anaeshauri chochote kinyume naona anaonekana hater so anachofikiri yeye mwenyewe ndio sawa kila wakati. Kuna siku internet ambayo imechangia sana kumuinua itakuwa his worst enemy!!
 
Celebrity worship syndrome ni ugonjwa wa akili ambapo mtu hutokea kumpenda mtu maarufu kupita kiasi.

(Kufatilia na kusifia/kupenda kila kitu anachofanya kwenye kazi yake na maisha binafsi.)
huu ugonjwa only ninao kwa manchester united yangu...........
 
najua hili dogo anatumika kitambo sana...
 
Tufanye ana asilimia 10 bado nasema sio mchezo.
 
mi ndio maana napinga mpaka kesho eti mziki wa bongo umpe utajiri wote ule.....mziki wa bongo haulipi
 
kiuhalisia mziki wa bongo haulipi ila ndio ivyo tutafanyaje sasa na tumeshindwa wazidi majirani kenya na uganda
 
ukweli mchungu huu ila hawatakuamini kamwe..........
 
Tufanye ana asilimia 10 bado nasema sio mchezo.
kwa ela ipi? asilimia kumi ya hisa unaijua au unaisikia.........changamsha ubongo wako kama unataka kuyajua mambo
 
Mzee mzima kumbe na wewe una mijilasi ya nguvu.
Ukimgusa DOMO tegemea kila aina ya kejeli......Hilo nalitambua ila ukweli lazima usemwe.......Jilasi na Domo yanini? Kwani akiwa na hela au hasipokuwa nayo mimi inanisaidia nini? Bora wewe lazima ulambe MATTERCORE ya domo ili uendelee kulipwa mitandaoni.
 
kwa ela ipi? asilimia kumi ya hisa unaijua au unaisikia.........changamsha ubongo wako kama unataka kuyajua mambo
We mwenyewe hujui chochote, si Bora ukae kimya tu unapinga nn Sasa? Na Hakuna unachojua kuhusu umiliki wake. Unachekesha Sana[emoji1787]
 
Domo? You can do better than that bro. Kwanini usiseme Diamond? Jealous haziwezi kukusaidia kitu kaka.
 
Ndio kusema imeshindikana kabisa kuonesha picha ya kitu kilichokamilika kwa zaidi ya 80%?
 
Celebrity worship syndrome ni ugonjwa wa akili ambapo mtu hutokea kumpenda mtu maarufu kupita kiasi.

(Kufatilia na kusifia/kupenda kila kitu anachofanya kwenye kazi yake na maisha binafsi.)
Hata akitembea uchi atashangilia kuwa ni fashion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…