Good news: Diamond athibitisha Wasafi Tower kukamilika 95%

Domo? You can do better than that bro. Kwanini usiseme Diamond? Jealous haziwezi kukusaidia kitu kaka.
Sina Jilasi na Domo hata kidogo,nimeongea ukweli halisi ingawa ni mchungu ,misukule ya domo hayawezi kuelewa....Domo ni AKA mkuu ni kama Lusinde aka Kibajaji ,Ali Kiba aka KIBAKULI au MTU FULANI aka MEKO kwahiyo usipanic ninavyotaja DOMO.
 
Celebrity worship syndrome ni ugonjwa wa akili ambapo mtu hutokea kumpenda mtu maarufu kupita kiasi.

(Kufatilia na kusifia/kupenda kila kitu anachofanya kwenye kazi yake na maisha binafsi.)
Kwa kuongezea zaidi;Wakati mtu huyo anashangilia mafanikio ya huyo mtu maarufu yeye mwenyewe ni kapuku ambaye inawezekana hata mchana hajala chochote au ameshindia kahawa.
 
Ila kumbuka mkuu mke wa mmiliki wa clouds FM ndio mmiliki wa wasafi FM
 
Halafu Hamisa bwana, Mama Diamond si amekukataa hivi majuzi na kukuambia kuwa ukoo wao unatosha na hataki mwanawe aoe changu ila hutaki kuamini tu. Achana na Diamond, ishi maisha yako.
 
Sina Jilasi na Domo hata kidogo,nimeongea ukweli halisi ingawa ni mchungu ,misukule ya domo hayawezi kuelewa....Domo ni AKA mkuu ni kama Lusinde aka Kibajaji ,Ali Kiba aka KIBAKULI au MTU FULANI aka MEKO kwahiyo usipanic ninavyotaja DOMO.

King Kong humu kwenye jukwaa ni mkongwe sana. Level it down bro, we expect more from you than this. Let's make it positive. Halafu ukiniita msukule wa Domo unakosea. Labda nikuulize tu, hivi kitu gani kinakufanya umchukie?
 
Hata kama ni mkongwe JF ,ukweli utasemwa tu,hao wasanii wenu ni MISIFA's CAMP mingi,kuongeza Sifuri tu sana,DOMO alishawahi kusema kwamba analeta Rolls Royce ipo kwenye maji ,huu mwaka wa 6 au wa 7 bado haijafika ,leo anatuambia wasafi Tower ipo 95% ndio yale yale ya MISIFA's CAMP ,mara nalipia watu kodi na bla bla kibao...Mbona simpigi Madongo KIBAKULI ingawa wote nawaona MABUMUNDA? KIBAKULI anafanya mambo ila kimya kimya ,akiweka wazi lazima tutoe SPANA ambapo hakupo sawa!! Sina Chuki na MSANII wowote ,DOMO akifanya vizuri nitatoa SIFA akiharibu atapigwa SPANA tu....DOmo namkubali kwenye Mbagala,Nitarejea,Make me sing,Inama,Kamwambie basi.
 
kiuhalisia mziki wa bongo haulipi ila ndio ivyo tutafanyaje sasa na tumeshindwa wazidi majirani kenya na uganda
Nanukuu msanii mmoja wa kenya aliwahi kusema angalia wasanii wa zaman wa kenya na wasanii wa zaman wa Tanzania halafu compare hali zao kiuchumi

of course wasanii wa bongo ni matajiri social network not in reality
 
Unaweza pia kusema ulevi pia,wengi wanapenda kutumia kwenye pombe kumbe ukipendA kitu kupita kiasi ni ulevi.

Wengi wao wanaopenda celebrity kupita kiasi wanakuwaga wanakula na kulala bure,yaani ni jobless.
Ukiwa bize na maisha huwezi kua chizi wa ushabiki
 
Nanukuu msanii mmoja wa kenya aliwahi kusema angalia wasanii wa zaman wa kenya na wasanii wa zaman wa Tanzania halafu compare hali zao kiuchumi

of course wasanii wa bongo ni matajiri social network not in reality
Umeongea point.
Baadae umaarufu ukiisha anakuja kuwa kama Mr. Nice hizo mali anazojifanyia promo wala hazitaonekana badae.
 
Wivu mkuu unakusumbua, aliyepewa kapewa. Kwangu mimi diamond kuwa na mbwembwe na mafanikio aliyoyapata ni sahihi ametoka zero now hero, kwanini tusimpongeze, kwanini tupuuze juhudi zake! Kwa hapo alipo amekuwa mfano bora wa ramani ya mafanikio kwa watoto wa masikini. Ukiachana na mziki anaofanya pia amekuwa mbunifu wa kutengeneza biashara nyingi ambazo zimeongeza utajiri wake. Hata kama hauamini mziki wake amini kwenye hustle zake. Huyo ndo babako!!
 
Kila mtu akitoa maona tofauti basi misukule ya domo inasema ni wivu,hivi nimuonee wivu domo kwa lipi? Hivi tz nzima ni yeye ndio aliyetoka zero? Mbona kuna Mabilionea wengi sana wana mpunga wa hatari na wameanzia sifuri na wala hatujawahi kuwasema? msilazimishe msanii wenu akubalike na watu wote!! Kuna wengine sio wapenzi wa muziki wake wa BENIBATI au MNANDA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…