King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Sina Jilasi na Domo hata kidogo,nimeongea ukweli halisi ingawa ni mchungu ,misukule ya domo hayawezi kuelewa....Domo ni AKA mkuu ni kama Lusinde aka Kibajaji ,Ali Kiba aka KIBAKULI au MTU FULANI aka MEKO kwahiyo usipanic ninavyotaja DOMO.Domo? You can do better than that bro. Kwanini usiseme Diamond? Jealous haziwezi kukusaidia kitu kaka.