Good News: Diamond Platnumz Studio na Snoop Dogg

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
3,519
Reaction score
2,055
Habari Nzuri kwenye tasnia ya Muziki (bongo flavour) nchini Tanzania ni kuwa msanii Namba Tatu Africa Baada ya Burna Boy ma Wizkid na Namba moja Tanzania ameingia studio na king wa West coast SNOOP DOGG.

DIAMOND PLATINUMZ amepost kwenye Instagram page yake na kuambatanisha na maneno yanayosomeka "Listen, Learn from the king, and you'll achieve more".

Diamond platinumz yupo Marekani kwa mwezi mmoja ikiwa ni Maandalizi ya kuzikwa[emoji23] kabisa ili achukue GRAMMY AWARD 2022







 
Mwamba anasema yule Mbwa amekuwa mkubwa kama simba kwahiyo now anajiita snooplion
 
Picha namba nne sadala anaambiwa chagua hit song yangu moja tutoe remix
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…