Good News For Tanzanian Woman With Strange Growth as Governor Ngilu Intervenes

Good News For Tanzanian Woman With Strange Growth as Governor Ngilu Intervenes

Ukitoa msaada acha Mabango huku Tanzania wapo wakenya wengi wenye shida mbalimbali tunasaidiana kama ndugu na hatujawahi kuulizana utaifa kwenye shida sisi tukitenda jambo huwa hatutangazi bali tunasubiria masawabu tuu
Baada ya kusaidiwa mnaanza kuongea uharo.
 
life is really hard in Tanzania. she had to travel all the way to Kenya to seek help as everyone in Tanzania anapambana na hali yake.
huyu abakie hapa hapa nchini maana akirudi kwao, atateseka huyu.
Wale wasionahukakika wa mlo apo mathare wakaazi laki 5 wanaoishi kwenye mazingira machafu kupindukia mbona hamuwatoi kwenye janga la umaskini?tunajua nyie ni maskini wa mali na akili kumsaidia uyo mwanamke masikini kutoka Tanzania hakubadili hali yenu tunaijua
 
Charity Ngilu kipitia Twitter

Today, while moving through Nairobi, I met Ms. Pendo Masonga, a 20 year old Tanzanian National who has what appears to be a malignant a growth on her mouth. /1

Image
Image
Image
Image
On interacting with her further I learnt that she has been living with this condition for a long time and had came to Kenya with the hope of meeting well-wishers to help her undergo a maxillofacial operation to correct the growth. /2
Image


I have offered to pay for her expenses to undergo the operation which will be done in Kitui after other four successful similar surgeries at the Kitui Referral hospital. The patient has been picked, and is now in an ambulance on her way to Kitui Referral hospital.
Sawa kabisa, sio mademu zetu mtutafunie kisha mshindwe hata kuwatibia. Asante sana mmeonyesha utu
 
Multi dimensional poverty ni hali ambayo ata kupata matibabu au masomo ni balaa.

Tanzania is a good example ya nchi yenye multi dimensional poverty. Yani unakosa pesa mfukoni, Masomo balaa na hakuna hospitali

Hatari sana ...kwa karne ya 21.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Mkishasaidiwa aidha museme asante au mukae kimya. Hayo mengine mnayozungumza ni upuuzi tu.
Suala la kusaidia ni jambo la kawaida,na wala sioni mantiki hasaa ya hii post,sisi husaidia watu kila siku,pia tunasaidiwa,maelfu ya watu husaidiwa kila siku duniani kote..ukiwa ni kilaza,jitahidi kuuficha ukilaza wako usidhihirike kwa wengine
 
Kweli Kenya wana kinyongo sana na waTz ? Hili swala la omba omba hapo kenya hususani Nairobi kwann mna washutumu Tz kwamba ndio wanaomba omba hapo ? Na tutaamini vp kama ni wa Tz , .. Je wana ID ?
 
Nyie jamaa haha. Kwa hiyo jamaa kakosea kuandika, Acheni zenu
Amekosea Sana....ameiweka hiyo not in good faith...ni kejeli na arrogance ya kikenya...jnadhani hakuna wakenya wenye hiyo lump...wakenya ni watu wa ajabu Sana...that is why wakenya wengi wanachukiwa TZ...
 
Kweli Kenya wana kinyongo sana na waTz ? Hili swala la omba omba hapo kenya hususani Nairobi kwann mna washutumu Tz kwamba ndio wanaomba omba hapo ? Na tutaamini vp kama ni wa Tz , .. Je wana ID ?



Wengi wao haihitajiki ID kuwatambua. Ni rahisi sana kuwajua waTz........pitia mitaa ya River Road, Tom Mboya Street na Moi Avenue, hutawakosa. Wakiwa na Public Address Systems (redio, battery na mic) akiimba kwaya huku pembeni kuna bakuli la kuchangiwa senti. Lafudhi tu itadhihirisha ni WaTz.

Ila pamoja na yote, Wakenya wanawapenda sana Watanzania, asikufiche mtu.
 
Wengi wao haihitajiki ID kuwatambua. Ni rahisi sana kuwajua waTz........pitia mitaa ya River Road, Tom Mboya Street na Moi Avenue, hutawakosa. Wakiwa na Public Address Systems (redio, battery na mic) akiimba kwaya huku pembeni kuna bakuli la kuchangiwa senti. Lafudhi tu itadhihirisha ni WaTz.

Ila pamoja na yote, Wakenya wanawapenda sana Watanzania, asikufiche mtu.
Lafudhi pekee yake sio issue ! Ilo jambo bado halipo sawa sawa. Swala la kupendana ilo ni kheri Mapenzi ya Mungu yatimie maanna hata Mungu alisema pendaneni
 
Yaani Kenya ni nchi ya ovyo yaani kumsaidia Mtanzania imekuwa habari kubwa wakati huku Tz tukiwasaidia wala hatuoni kuwa ni isue kubwa.
 
UPDATE

After more than 8 hours of surgery, I am pleased to report that the maxillofacial operation done at Kitui Referral Hospital to correct the growth on Ms. Pendo Masonga’s face was a success! We thank God

. Ms Pendo will now recuperate under close monitoring by the doctors

Image
Image
Image
Image
Daily Nation and 9 others
9:00 AM · Aug 27, 2020·Twitter for iPhone

434
Retweets and comments

1.7K
Likes








Charity Ngilu
@mamangilu

·
3h

Replying to
@mamangilu
After recovery, the next phase will be to assist assimilate Ms. Pendo back into society, this time round without the painful burden and stigma of the malignant tumor that was on her face. Special thanks to the Kitui Referral Hospital Medical team. We pray for her speedy recovery.
Image
NTV News and 9 others
 
Back
Top Bottom