Good News For Tanzanian Woman With Strange Growth as Governor Ngilu Intervenes

Good News For Tanzanian Woman With Strange Growth as Governor Ngilu Intervenes

Huku mtaani kwetu Embakasi utapata asubuhi na mapema omba omba ni vibakuli kutokaTanzania huwa wamejazana kila kona jamani kwa Magufuli kunani,
 
Huku mtaani kwetu Embakasi utapata asubuhi na mapema omba omba ni vibakuli kutokaTanzania huwa wamejazana kila kona jamani kwa Magufuli kunani,
Kwani umesahau kuwa hao ombaomba wapo HIJA KENYA ujui mtume wao no OMBAOMBA MKUU RAISI UHURU KENYATTA.
 
Wengi wao haihitajiki ID kuwatambua. Ni rahisi sana kuwajua waTz. Pitia mitaa ya River Road, Tom Mboya Street na Moi Avenue, hutawakosa. Wakiwa na Public Address Systems (redio, battery na mic) akiimba kwaya huku pembeni kuna bakuli la kuchangiwa senti. Lafudhi tu itadhihirisha ni WaTz.

Ila pamoja na yote, Wakenya wanawapenda sana Watanzania, asikufiche mtu.
🤣😃😃😂😂🤣
 
Ukitoa msaada acha Mabango huku Tanzania wapo wakenya wengi wenye shida mbalimbali tunasaidiana kama ndugu na hatujawahi kuulizana utaifa kwenye shida sisi tukitenda jambo huwa hatutangazi bali tunasubiria masawabu tuu
Kafanya jambo jema didi ni ndugu
 
Back
Top Bottom