Baada ya kusaidiwa mnaanza kuongea uharo.Ukitoa msaada acha Mabango huku Tanzania wapo wakenya wengi wenye shida mbalimbali tunasaidiana kama ndugu na hatujawahi kuulizana utaifa kwenye shida sisi tukitenda jambo huwa hatutangazi bali tunasubiria masawabu tuu
Mkishasaidiwa aidha museme asante au mukae kimya. Hayo mengine mnayozungumza ni upuuzi tu.That's show off,she didn't mean to help...a wise man understands the situation
Wale wasionahukakika wa mlo apo mathare wakaazi laki 5 wanaoishi kwenye mazingira machafu kupindukia mbona hamuwatoi kwenye janga la umaskini?tunajua nyie ni maskini wa mali na akili kumsaidia uyo mwanamke masikini kutoka Tanzania hakubadili hali yenu tunaijualife is really hard in Tanzania. she had to travel all the way to Kenya to seek help as everyone in Tanzania anapambana na hali yake.
huyu abakie hapa hapa nchini maana akirudi kwao, atateseka huyu.
Sawa kabisa, sio mademu zetu mtutafunie kisha mshindwe hata kuwatibia. Asante sana mmeonyesha utuCharity Ngilu kipitia Twitter
Today, while moving through Nairobi, I met Ms. Pendo Masonga, a 20 year old Tanzanian National who has what appears to be a malignant a growth on her mouth. /1
On interacting with her further I learnt that she has been living with this condition for a long time and had came to Kenya with the hope of meeting well-wishers to help her undergo a maxillofacial operation to correct the growth. /2
I have offered to pay for her expenses to undergo the operation which will be done in Kitui after other four successful similar surgeries at the Kitui Referral hospital. The patient has been picked, and is now in an ambulance on her way to Kitui Referral hospital.
Multi dimensional poverty ni hali ambayo ata kupata matibabu au masomo ni balaa.
Tanzania is a good example ya nchi yenye multi dimensional poverty. Yani unakosa pesa mfukoni, Masomo balaa na hakuna hospitali
Suala la kusaidia ni jambo la kawaida,na wala sioni mantiki hasaa ya hii post,sisi husaidia watu kila siku,pia tunasaidiwa,maelfu ya watu husaidiwa kila siku duniani kote..ukiwa ni kilaza,jitahidi kuuficha ukilaza wako usidhihirike kwa wengineMkishasaidiwa aidha museme asante au mukae kimya. Hayo mengine mnayozungumza ni upuuzi tu.
It seems huyu mama hajawahi kusaidia mtu,huyu mama ni mtu wake wa kwanza kumsaidia..Tanzania is a shithole country.
Kenya is land for the merciful View attachment 1502782
AhsanteniWakenya watampa msaada atafanyiwa upasuaji kisha arudi kwenu huko akiwa mzima, hilo ndio la msingi, tunawasaidia sana wanaofaulu kuingia kuja Kenya.
[emoji13]Hatari sana ...kwa karne ya 21.
Amekosea Sana....ameiweka hiyo not in good faith...ni kejeli na arrogance ya kikenya...jnadhani hakuna wakenya wenye hiyo lump...wakenya ni watu wa ajabu Sana...that is why wakenya wengi wanachukiwa TZ...Nyie jamaa haha. Kwa hiyo jamaa kakosea kuandika, Acheni zenu
Kweli Kenya wana kinyongo sana na waTz ? Hili swala la omba omba hapo kenya hususani Nairobi kwann mna washutumu Tz kwamba ndio wanaomba omba hapo ? Na tutaamini vp kama ni wa Tz , .. Je wana ID ?
Na ugonjwa kaupatia kenyaHyo Kaolewa na kazalishwa na Mkenya kwa hiyo ni Mkenya mwenye asili ya TZ
Watoto ni Wakenya
Lafudhi pekee yake sio issue ! Ilo jambo bado halipo sawa sawa. Swala la kupendana ilo ni kheri Mapenzi ya Mungu yatimie maanna hata Mungu alisema pendaneniWengi wao haihitajiki ID kuwatambua. Ni rahisi sana kuwajua waTz........pitia mitaa ya River Road, Tom Mboya Street na Moi Avenue, hutawakosa. Wakiwa na Public Address Systems (redio, battery na mic) akiimba kwaya huku pembeni kuna bakuli la kuchangiwa senti. Lafudhi tu itadhihirisha ni WaTz.
Ila pamoja na yote, Wakenya wanawapenda sana Watanzania, asikufiche mtu.