Wengi wao haihitajiki ID kuwatambua. Ni rahisi sana kuwajua waTz. Pitia mitaa ya River Road, Tom Mboya Street na Moi Avenue, hutawakosa. Wakiwa na Public Address Systems (redio, battery na mic) akiimba kwaya huku pembeni kuna bakuli la kuchangiwa senti. Lafudhi tu itadhihirisha ni WaTz.
Ila pamoja na yote, Wakenya wanawapenda sana Watanzania, asikufiche mtu.