Good news kwa Yanga: Mvurugano Al Hilal waihofia Yanga, Ibenge kachanganyikiwa

Good news kwa Yanga: Mvurugano Al Hilal waihofia Yanga, Ibenge kachanganyikiwa

Njaa kali bhana kwa ulivyowaburudisha utopwinyo kwa huu uzi wengi wanajua na wewe ni utoh kumbee....
 
Baaada ya yanga kuichakaza team ngumu ya sudan kusini kwa bao 9-0 (yes ni ngumu ni mabingwa na siyo dhaifu kama unabisha na wewe ni dhaifu maana mayelle alikupiga bao 2)hali hapo jijini Khartoum siyo nzuri kwa vigogo wa team.

Jana baada ya ushindi wa magumashi dhidi ya team dhaifu ya waimba kwaya wa Ethiopia waliowahi kualikwa simba day,kulikuwa na kikao kizito kuijadili Yanga SC.

Imeonekana kwamba Yanga imekamilika kila idara na reality ni kwamba al hilal atapigwa goals 4 dar es salaam na goals 3 pale sudan hivyo yanga itasonga mbele kwa goals 7-0 kitu ambacho ma boss wa al hilal wamesema siyo mbaya sana ukizingatia ubora wa yanga na ukubwa wa team hiyo.

Kocha Ibenge alijaribu kuulizwa uzoefu wake kuhusu Tanzania na wachezaji wa ki congo alisema hakuna wa kumzuia mayele ni lazima awafunge siyo chiniya goals 3 na ma boss walikubaliana naye.

Ila akasema "KINA FULANI" walishampa uzoefu kuhusu mbinu chafu pale uwanja wa taifa kama kupulizia sumu, kuloga ambazo aliambiwa nao kipindi akiwa as vita , sema hana uhakika sana sababu yanga ni team inayoendeshwa ki profeshno sana haitumiii mambo hayao ya ajabu labda Simba.

Kwa hiyo akawaambia kutakuwa hakuna haja ya kuweka mtu nje ya chumba cha kubadilishia nguo kwa kuwa yanga hawana mambo hayo ya kijingajinga.

Ila akawaambia amekuwa na bahati ya kupokewa airport na mamia ya mashabiki wake alipkuwa anakuja kucheza na simba na kushangiliwa uwanjani hivyo ana uhakika watajitokeza kwa wingi airport na uwanjani kumshangilia.

Uongozi ulifurahishwa sana na hilo lakini unachosubiri ni miujiza kwani Al hilal kuitoa yanga itakuwa story kubwa sana afrika yaani ni sawa na Daudi kumpiga Goliath, Yanga ni GIANT likuubwa siyo ya kulinganisha na KI- AL HILAL ambacho mashabiki wake wamekata kabisa tamaa wanasema bora wangekutana na makolo ambayo ni team mbovumbovu inayoshinda kwa taabu mechi kama ya Tz prisons.

View attachment 2361437
Mtoa post
IMG-20220830-WA0006.jpg
 
Kama kibonde Vipers alikukutandika 2 Al hilal atakutwanga 4g
 
Kama kibonde Vipers alikukutandika 2 Al hilal atakutwanga 4g
Kama Simba alishinda 2-0 na St George,Then St George akatoka 2-2 aggregate na Al Hilal basi na Al Hilal atapigwa 2-0 na Young Africans.[emoji16]
 
Kama Simba alishinda 2-0 na St George,Then St George akatoka 2-2 aggregate na Al Hilal basi na Al Hilal atapigwa 2-0 na Young Africans.[emoji16]
Kama Yanga nilimtwanga 5g Al hilal alinifunga 1 basi Yanga inapiga 6g
 
Dah mnawafunga saba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoja mjae
Kila first half na zalan mlikua mnasare
Kipindi cha pili kasi yao ndogo wakichoka ndo mnaweka

Kuvuka nawapa 50% endapo mkishinda kwa goli mbili taifa
Mshinde moja au msare mmeisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila mi nataka tuvuke wote kuna kitu nangoja
Unangoja nini kamanda?au unawaza kama mm?mi nataman huko mbele nikutane na kolo nilipakate tena
 
Back
Top Bottom