Good News: Mawaziri Kutoka Tanzania na Rwanda Wakutana Kuhusu Ujenzi Wa SGR, Dar Es Salaam

Good News: Mawaziri Kutoka Tanzania na Rwanda Wakutana Kuhusu Ujenzi Wa SGR, Dar Es Salaam

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
1,531
Reaction score
1,134
Leo January 20, 2018 Siku chache zilizopita Rais Kagame wa Rwanda alifanya ziara ya kikazi nchini na kuzungumza na President JPM juu ya ujenzi wa reli ya umeme, sasa GOOD NEWS ni kwamba Mawaziri watatu wa Tanzania na mmoja kutoka nchini Rwanda wamesaini mikataba ya awali kuhusu ujenzi wa reli ya umeme kutoka Isaka Tanzania mpaka Kigali nchini Rwanda.

ac0b4f5ebdffc8609994bf2c073fa35f.jpg

Akizungumza na Waandishi wa Habari, Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema makubaliano hayo yanatokana na maagizo yaliyotolewa na Rais John Magufuli na Paul Kagame wa Rwanda baada ya kukutana January 14, 2018.

“Treni itakayopita katika reli hiyo itakuwa ni ya umeme, ambapo itakuwa kwa treni ya abiria itatembea speed ya Kilometre 160 kwa saa na treni ya mizigo itakuwa na speed ya Kilometre 120 kwa saa,”.– Prof. Mbarawa

Prof. Mbarawa amesema kutokana na ujenzi wa reli nyingine hasa ya kati itarahisisha usafiri ambapo kutoka Dar es Salaam hadi Rwanda inaweza ikachukua saa 12 badala ya siku 2

Uhuru Na Umoja
 
Ni kweli ingependeza sana ila tungefika Kenya tungekosa umeme wa kusapoti bullet train yetu, Kenya wapo stone age bado
[emoji2] [emoji2] [emoji2] au unaeza ukawa uko ndani ya treni unakunywa kahawa ukashangaa umerushiwa fuko la mavi kupitia dirishani (flyn toilets). Kenya is not safe for our modern expensive bullet trains esp Nairobi.
 
Hahaha kule hakufai kabisa
 
Ukichukua kilometers 1300 kutoka Dar mpaka Kigali kwa train ya abiria 160/hr ni masaa 8 tayari upo Kigali, ya mizigo 120/hr ni masaa 10.
Ila kuna vituo njiani na hio 160 ni maximum speed
 
Dah sipati picha kuboard train Dar naenda zangu Kigali kula diner kesho yake nipo Dodoma mapema kabisa kwa lunch I wish Congo ingekuwa stable tuwaunge na wao
Mkuu ngoja kwanza Vuguvugu La Kabila Liishe ,u hope watajoin kwenye hii Project
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] au unaeza ukawa uko ndani ya treni unakunywa kahawa ukashangaa umerushiwa fuko la mavi kupitia dirishani (flyn toilets). Kenya is not safe for our modern expensive bullet trains esp Nairobi.
Hahahahhaha , sasa Si bola fuko La kinyesi mkuu!! Unashangaa Al shabaab wameteka Treni yote [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Back
Top Bottom