Good News: Mawaziri Kutoka Tanzania na Rwanda Wakutana Kuhusu Ujenzi Wa SGR, Dar Es Salaam

Hio PROJECT wakwanza kuweka jiwe la msingi pale ISAKA wilaya ya KAHAMA alikuwa ni mzee Ruksa pamoja na wale marais wawili wa burundi na rwanda kina habialimani waliouwawa wakiwa ktk ndege
Hadi leo hii eneo kubwa saana pale isaka lipo wazi ulitengwa rasmi kama bandari ya nchi kavu(dry port)na hao wazee pamoja ni jiwe la msingi pia lipo
 
Mkuu ngoja kwanza Vuguvugu La Kabila Liishe ,u hope watajoin kwenye hii Project
Tulishaingia mikataba na kabila kwenye mafuta lake tanganyika na hii SGR wasiwasi wangu ni kama atakae Kuja tutaendana nae sababu viongozi wanatofaitiana kwenye vipaumbele.
 
Wala usiwe na wasiwasi katika hilo, DRC hana choice katika hilo, muhimu ni train ifike Kigali tu, baada ya hapo wakongo na mizigo yao itaflow by osmosis.
 
Hahahahhaha , sasa Si bola fuko La kinyesi mkuu!! Unashangaa Al shabaab wameteka Treni yote [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
kweli hiyo noma zaidi.. halafu ata wakija mnaeza msijue maana wana magari yana plate number za Kenya Defence Force (KDF) walipokonyaga jeshi la Kenya.. so sad!
 
Dah sipati picha kuboard train Dar naenda zangu Kigali kula diner kesho yake nipo Dodoma mapema kabisa kwa lunch I wish Congo ingekuwa stable tuwaunge na wao
Ni Wazo zuri sana kuinganisha Africa mashariki
 
Wala usiwe na wasiwasi katika hilo, DRC hana choice katika hilo, muhimu ni train ifike Kigali tu, baada ya hapo wakongo na mizigo yao itaflow by osmosis.
Yeah ilimradi SGR itafika kwenye shores za lake tanganyika Congo tutakua tumeifikia, Mbarawa juzi kwenye tweets ameconfirm mpaka kule Lindi, Mtwara, Mchuchuma na Liganga pamoja na Arusha SGR itafika wapo kwenye stages za kutengeneza bids so tunaelekea kuzuri
 
Tulishaingia mikataba na kabila kwenye mafuta lake tanganyika na hii SGR wasiwasi wangu ni kama atakae Kuja tutaendana nae sababu viongozi wanatofaitiana kwenye vipaumbele.
nazani mna mchokoza zzitto na kigoma yake... tren mna ipeleka kigali badala ya ujiji.... hahahahahahahahaaaa.
 
Yeah ilimradi SGR itafika kwenye shores za lake tanganyika Congo tutakua tumeifikia, Mbarawa juzi kwenye tweets ameconfirm mpaka kule Lindi, Mtwara, Mchuchuma na Liganga pamoja na Arusha SGR itafika wapo kwenye stages za kutengeneza bids so tunaelekea kuzuri
Hata hawa Kenya, mwishoni itabidi wakubaliane na ukweli kwamba hawatoweza kubaki peke yao lazima waunganishe katika huu mtandao wa central corridor, vinginevyo reli yao utaishia nowhere, kwasababu sioni kabisa uwezekano wa Kenya kuifikisha Malaba, uwezekano mkubwa itaishia Kisumu, hivyo Uganda haitojenga kuunganisha Kampala la Malaba, na kwasasa shifting ya biashara inahama kutoka Kenya na Uganda na kuelekea Kenya na Tanzania, umuhimu wa SGR kati ya Kenya na Uganda unazidi kupungua, mizigo ya Uganda toka Mombasa inaweza kuhudumiwa na bandari ya Kisumu.
 
naona mbalawa ame mtenga zitto... na ina weza kabisa ikatoka mchuchuma kwenda mpanda... mpaka zambia malawi/ au tabora mpanda, hahahahahahaha namuona zitto akija kivingine kuunga mkono juhudi za mh. ili mzigo uende kigoma... maana siku hizi haoneshi tena maendeleo ya jimbo lake, amekuwa kimya sana....

huwezi pingana na serkali kwa njia za kitoto hivyo... wakina besgye uganda wana elewa... wale wakigali wana jua... hawa wa bujumbura ndio kabisa... wasipo changia uchaguzi wasahau kufanya uchaguzi, serkali haina pesa... ina maana nkurunzinza ataendelea kuwepo kwa kutumia mbinu za kivita... vita ni vita... vita ya maneno nayo ni vita...
 
tuna subiria upande wa muleba... kyaka... mtukula... mpaka kampala....
 
kuna uwezekano hii tren ikaanzia kampala na kigali zikaungana kuelekea lusaka... harare... gaborone mpaka cape....
 
Ni Wazo zuri sana kuinganisha Africa mashariki
Ni kweli Africa tunatakiwa tuwe kama ulaya mfano swala la mjerumani kwenda Netherlands, Poland, France, Australia, Italy, Spain ni kama mtanzania anavyofikiria kwenda Dar, Moro, Dom, Tanga yani hakuna kuwaza muda, visa wala nini unaweza kuingia moja ya hizo nchi ndani ya saa 3 tu mtu anatoka Germany kwenda Netherlands wala hakuagi unashangaa mnakula chakula cha mchana anakwambia leo asubuhi nilienda Netherlands
 
hapa kwenye visa... nazani kwakuwa tupo katika SADC itakuwa rahisi kama wao na shengen (sijui nimepatia) una zurura tu.... mara malawi, mara kigali, mara maputo... una swampa... na pass yako mkononi kukutambulisha ni mwenzao
 
Sasa itakuwaje kwa wale waliokuwa wanakunywa kahawa na makaburu enzi za ubaguzi wa rangi, nao waruhusiwe kutembelea nchi za SADC wakitumia IDs?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hapa kwenye visa... nazani kwakuwa tupo katika SADC itakuwa rahisi kama wao na shengen (sijui nimepatia) una zurura tu.... mara malawi, mara kigali, mara maputo... una swampa... na pass yako mkononi kukutambulisha ni mwenzao
Kitu ambacho kitaleta matumaini ni kama Zambia na Zimbabwe wataitikia hii trendy ya SGR ikatokea na wao wakapata hichi kimbunga cha SGR kilichopo kwenye nchi za afrika mashariki itapendeza sana sababu mtu atakua na uwezekano wa kutoka Djibouti mpaka Capetown kwa SGR.
 
Hata hawa Kenya, mwishoni itabidi wakubaliane na ukweli kwamba hawatoweza kubaki peke yao lazima waunganishe katika huu mtandao wa central corridor, vinginevyo reli yao utaishia nowhere, kwasababu sioni kabisa uwezekano wa Kenya kuifikisha Malaba, uwezekano mkubwa itaishia Kisumu, hivyo Uganda haitojenga kuunganisha Kampala la Malaba, na kwasasa shifting ya biashara inahama kutoka Kenya na Uganda na kuelekea Kenya na Tanzania, umuhimu wa SGR kati ya Kenya na Uganda unazidi kupungua, mizigo ya Uganda toka Mombasa inaweza kuhudumiwa na bandari ya Kisumu.
Aisee kitu ninachowaonea majirani huruma ni Lamu port ile bandari wameijenga kimihemko sana worst enough kwa mkopo wakifikiria kuteka soko la Rwanda, Burundi and Congo lakini pia Ethiopia na S.Sudan ambao wote hakuna mwenye interest nao hata mmoja.

Ikumbukwe Asilimia kubwa ya mizigo ya Mombasa ni ya wakenya wenyewe kisha waganda na wala haijatumiwa vya kutosha sasa unajaribu kufikia Lamu ni nani atatumia kurudisha mikopo ya watu unabaki na big question mark
 
Back
Top Bottom