Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Naomba dua Mh lungu na mnangagwa emason walione hili.... pepo wa maono awafikie.... tusiishie kuona wale wazungu wanao safiri kwa tren toka SA mpaka Dar kuja kutalii na kurudi... tuna taka na sisi tutembee kote africa mashariki na kusini kwa tren....Kitu ambacho kitaleta matumaini ni kama Zambia na Zimbabwe wataitikia hii trendy ya SGR ikatokea na wao wakapata hichi kimbunga cha SGR kilichopo kwenye nchi za afrika mashariki itapendeza sana sababu mtu atakua na uwezekano wa kutoka Djibouti mpaka Capetown kwa SGR.
nazani mwaka 2030 tuta jaribu kuwaza SGR kwenda zenji....