Good News: Mawaziri Kutoka Tanzania na Rwanda Wakutana Kuhusu Ujenzi Wa SGR, Dar Es Salaam

Naomba dua Mh lungu na mnangagwa emason walione hili.... pepo wa maono awafikie.... tusiishie kuona wale wazungu wanao safiri kwa tren toka SA mpaka Dar kuja kutalii na kurudi... tuna taka na sisi tutembee kote africa mashariki na kusini kwa tren....

nazani mwaka 2030 tuta jaribu kuwaza SGR kwenda zenji....
 
Nina matuamaini sana na wauza kopa... kuungana nasi katika huu upepo... kwa kuwa tuna urafiki wa muda mrefu ulio tukuka... wa kujenga reli... hivyo na ktk hili... wakiuza kopa watakuja kushiriki nasi katka Ujenzi wa SGR na ikifika zambia basi wazimbabwe nao hata taka kubaki nyuma... ndipo hapo waswana nao wataitikia wito na wanamibia na waangola, muswato, wale wanampula...

kusini yote ina kuwa ktk mtandao wa SGR.... ndipo wakenya nao kwa kumtumia balozi wao maalum Mh. Nasa kuja kuunga SGR kuanzia Ethiophia, Nairobi, dodoma, mbeya tuna songa kusini...

kama alivyo sema Mh. mbawala kuwa kutakuwa na mtandao wa SGR tz....
 
kama ni raia kutoka nchi za SADC... haina shida ,na wengine wasio wa SADC nazani wataona umuhimu wa nchi za africa kuwa na Pass moja na pesa moja... ndio maendeleo hayo...
Sasa itakuwaje kwa wale waliokuwa wanakunywa kahawa na makaburu enzi za ubaguzi wa rangi, nao waruhusiwe kutembelea nchi za SADC wakitumia IDs?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu ujenzi Lamu port hadi sasa Kenya hawajakopa, wamejenga kwa kutumia pesa zao za ndani, bado hakuna nchi wa Bank iliyokubali kutoa pesa kwasababu hainyeshi kuwa na faida za kiuchumi hivyo uwezekano wa kurudisha mkopo ni mdogo.

Kwa ujumla wakenya ni wabovu sana katika kupanga vipaumbele vya taifa, miradi mingi inaanzisha kwa ajili ya showoff na kupata sifa zaidi ya kupata manufaa ya mradi husika, miradi ya maana kama Galana irrigation project, underground water huko Turkana, na miradi ya maji ya kunywa kwasababu haionikani machoni, haipewi umuhimu. Sasa mradi wa one child one Laptop una maana gani?, huu wa Lamu port una umuhimu gani kwa sasa?, SGR Nairobi - Naivasha una uharaka gani kwa sasa wakati umeshafika Nairobi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…