Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Tunasubiri nyingine mmoja umuite Vladmir mwingine umuite PutinKaribuni duniani mashujaa Benjamin na Netanyahu, kuna nguvu kubwa kwenye majina yenu.
Ni Netanyahu sio NetanyauUnajua maana ya Netanyau
NajuaUnajua maana ya Netanyau
Hahaha,Karibuni duniani mashujaa Benjamin na Netanyahu, kuna nguvu kubwa kwenye majina yenu.
Ni wanangu Benjamin na Netanyahu.Usikute watoto sio wakwako
Majibu ya DNA Testing yako wapi?Karibuni duniani mashujaa Benjamin na Netanyahu, kuna nguvu kubwa kwenye majina yenu.
Wawalete wapelekewe moto.Hahaha,
Hongera broo!
Wanao chukia waambie walete Ayatollah na Khomeini, au Hassan na Nasrallah
Majina yana siri kubwa, nimeita majina yenye nguvu ya kutikisa dunia.Dah aisee niitenyau..Netanyahu.. basi sawa boos hukutaka kuita jina la ancestors wako hata mmoja
Huna haja ya kujua maana yake.Unajua maana ya Netanyau
Mi na mtoto mmoja anaitwa Ayatollaha
Acha wivu, mlete mke wako nimtest.Unashangillia kumbe ume bambikwa