Good news: Wenye nia njema na Yanga huko CAF wamtetea Mayele, kiatu CAFCL ni chake mwaka huu, aibu kwa Karia na Motsepe

Good news: Wenye nia njema na Yanga huko CAF wamtetea Mayele, kiatu CAFCL ni chake mwaka huu, aibu kwa Karia na Motsepe

Ila watu mna siri sana kumbe ni toka kipindi hicho nina miaka minne [emoji86][emoji86]
Screenshot_20220917-182950_Facebook.jpg
 
Mungu ni mkubwa sana, baada ya figisu ya kumfungia miaka 2 msemaji aliyeipa ubingwa Yanga baada ya kuukosa kwa miaka 4 ndugu Manara , figisu ziliendelea sana

Tukaona wachezaji wa Yanga wakitaka kuvunjwa miguu marefa kimya, adhabu ya Inonga hadi leo kimya, kamati ya masaa 72 huwa ni kuwaadhibu Yanga tu

Yakaja ya Kisinda ila Mungu ni mkubwa kawapiga upofu kwenye roho zao mbaya sasa Kisinda anaenda kupima watu umri tusubiri mambio yale , ma assits yake, magoli yake, maudambwiudambwi, ma skills yake,dah itakuwa hatari sana

HABARI NJEMA TOKA CAF ni kwamba baada ya figisu figisu za Karia na Rais wa CAF Motsepe za kubadili kanuni majuzi tu ili FISTON LEWANDOSKI HARLAND MAYELE asichukue ufungaji bora wa CAF watu wenye nia njema na Yanga huko CAIRO makao makuu ya CAF na wasio na chuki dhidi ya klabu hiyo kubwa na bora kabisa barani Afrika kwa sasa wamesema NO, sheria ibaki kama ilivyo

Wananchi leo mjitokeze kwa wingi kushuhudia Fiston the greatest of all time Mayele akipiga bao 7 na kufikisha bao kumi hivyo kuibuka mfungaji bora wa champions league mwaka huu

Party ya kusheherekea KIATU CHA DHAHABU CHA CAF 2022/23 KUTUA YANGA itafanyika Kidimbwi baadaye usiku
Ukweli ndugu yangu imenibidi nicheke kutokana na hili bandiko uliloliweka hapa
 
Jamani mbona hamna live updates za Yanga humu?.muda ndo huu au iko kwny stick huko?.
 
Nakuona Kalpana unavyo umizwa na matokeo kwenye hiyo picha ya pili kutoka chini. Tarehe 23 mwezi ujao, ujitahidi sasa kuvumilia maumivu.

Ameongezeka na Tuisila Kisinda.
Hahaha mkuu umeamua kunifanya bonge na cheupe sio?sawa tukutane trh 23
 
Back
Top Bottom