Good night

Good night

Opp na heinken house pametulia ila jumamosi kunakuaga na band nasikia nahisi kuna fujo nilishaenda mara mbili 3 hivi ni karibu na home
Ijumaa pia kuna band. Hamna fujo hata halafu kuna kwa ndani. Halafu kinywaji chetu wanauza bei ya Heineken house.
Nikija ntakuita naweza nikapotea njia karibuni nikajikuta hapo [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom