DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Hao wez hawajamwona yule mbwa mkali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijiibishi nataka kuibwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wez hawajamwona yule mbwa mkali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijiibishi nataka kuibwa
Hata yale ya sita kwa sita sio mbayaMazoezi ni wito
Aya bn ila kua makini..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijiibishi nataka kuibwa
Wamemwona si unajua wezi tena walivyoHao wez hawajamwona yule mbwa mkali
Hayo ni wajibuHata yale ya sita kwa sita sio mbaya
Mbona umeongea kiupole hivyoAya bn ila kua makini..
Ndugu yako kasema wew ni portableKhaaaa mbona me ni kibonge shem toka nimezaliwa jamani au unanifananisha na mtu humu jf
Amesema lini shem jamani huyu anaweza kuniuza bila mwenyewe kujijua sasa na ubonge niliokuwa nao anadanganya watu me ni portable jaman ananitakia mema kweli mmNdugu yako kasema wew ni portable
Mazungumzo yenu yamenitoa kwenye mood kabisaMbona umeongea kiupole hivyo
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]We endelea hivyo hivyo kutomtaja wenzio wanajilia huko na kama ni Jolie Jolie ni mbebez wa hazard cfc
Babe umekuwa mgeni na jf jaman ukiwa na mbebez humu unatakiwa uwe na moyo wa chuma sasa kidume wangu unaniangusha jamani huoni mfano hai kwa mbebez wa mziguaMazungumzo yenu yamenitoa kwenye mood kabisa
Aisee pole mno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Hahahahh anasema sisi tunaita chips ye anaviita viaziAnaharibu. Hiyo chips bwana
Ijumaa pia kuna band. Hamna fujo hata halafu kuna kwa ndani. Halafu kinywaji chetu wanauza bei ya Heineken house.Opp na heinken house pametulia ila jumamosi kunakuaga na band nasikia nahisi kuna fujo nilishaenda mara mbili 3 hivi ni karibu na home