Good night

Good night

Ijumaa pia kuna band. Hamna fujo hata halafu kuna kwa ndani. Halafu kinywaji chetu wanauza bei ya Heineken house.
Nikija ntakuita naweza nikapotea njia karibuni nikajikuta hapo [emoji23][emoji23]
Najua bei yake nimekuja kama mara mbili 3 hivi yaan ujue gate lao linaangaaliana na heinken house ya sinza sema tu jikoni hawapo vizuri yaan
 
Ila siku za band sitakuja huwa sipendi fujo fujo utakutana na mijitu mnayojuana sipendi hizo mambo
 
Good night, to the guy who makes my days bright.
Sweet dreams, to the guy whose love makes me burst out at the seams.
Hugs and kisses, to the guy who makes my life seem like a bed of roses.
I Love You.
[emoji11][emoji11][emoji11]
geeeezzzzz"""watu na bahati zao ""
 
Najua bei yake nimekuja kama mara mbili 3 hivi yaan ujue gate lao linaangaaliana na heinken house ya sinza sema tu jikoni hawapo vizuri yaan
Nilikulaga foil nikaipenda. Sijui nilikua nimelewa ndo maana nikapenda. Maana nilivyo na gubu wangeleta kitu cha ajabu ningewachambaa
 
Hiyo siku niliagiza nyama ya mbuzi ikaletwa nyama imepoa yaani labda wajirekebishe sasa hivi sijaenda mda kweli halafu me siingiagi lounge nakaaga nje uwanjani sijawahi ingia lounge
 
Back
Top Bottom