Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua bei yake nimekuja kama mara mbili 3 hivi yaan ujue gate lao linaangaaliana na heinken house ya sinza sema tu jikoni hawapo vizuri yaanIjumaa pia kuna band. Hamna fujo hata halafu kuna kwa ndani. Halafu kinywaji chetu wanauza bei ya Heineken house.
Nikija ntakuita naweza nikapotea njia karibuni nikajikuta hapo [emoji23][emoji23]
Ila siku za band sitakuja huwa sipendi fujo fujo utakutana na mijitu mnayojuana sipendi hizo mamboIjumaa pia kuna band. Hamna fujo hata halafu kuna kwa ndani. Halafu kinywaji chetu wanauza bei ya Heineken house.
Nikija ntakuita naweza nikapotea njia karibuni nikajikuta hapo [emoji23][emoji23]
Upo kama mie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Viazi sivipendi ila chips napenda sana
Aya sawa nitajitahidi kua na moyo mgumuBabe umekuwa mgeni na jf jaman ukiwa na mbebez humu unatakiwa uwe na moyo wa chuma sasa kidume wangu unaniangusha jamani huoni mfano hai kwa mbebez wa mzigua
Asante shem wangu...Pole shem
Ukilega lega hivyo yaan nitaibwa kweli halafu post yako ya watu weusi imebidi nijichungulie makalioni hivi ni meusi kama ulivyosema nayakuta meupe yaaniAya sawa nitajitahidi kua na moyo mgumu
Asante shem wangu...
Misprit nayokunywa kila siku inataka nyama nyama tu na michemshoUnakosa vitamu kweli.
Aisee Hahah!!Ukilega lega hivyo yaan nitaibwa kweli halafu post yako ya watu weusi imebidi nijichungulie makalioni hivi ni meusi kama ulivyosema nayakuta meupe yaani
We kila kitu unahadisiwa tuuuuu huwakuli ukawaona yaan nilivyoona post yako weusi umebaki kwenye makalio nikasema ebu ngoja nijiangalie labda kweli kuna weusi nakuta rangi moja [emoji57][emoji57]Aisee Hahah!!
Kuhusu makalio mm huwa nahadisiwa tu..
geeeezzzzz"""watu na bahati zao ""Good night, to the guy who makes my days bright.
Sweet dreams, to the guy whose love makes me burst out at the seams.
Hugs and kisses, to the guy who makes my life seem like a bed of roses.
I Love You.
[emoji11][emoji11][emoji11]
algebra hzooo ..hahaaBora wewe me sijaambulia hata kitu namsubili Jolie Jolie na hearly wakuje hawa ndio walimu wangu
Nilikulaga foil nikaipenda. Sijui nilikua nimelewa ndo maana nikapenda. Maana nilivyo na gubu wangeleta kitu cha ajabu ningewachambaaNajua bei yake nimekuja kama mara mbili 3 hivi yaan ujue gate lao linaangaaliana na heinken house ya sinza sema tu jikoni hawapo vizuri yaan
Hiyo siku niliagiza nyama ya mbuzi ikaletwa nyama imepoa yaani labda wajirekebishe sasa hivi sijaenda mda kweli halafu me siingiagi lounge nakaaga nje uwanjani sijawahi ingia loungeNilikulaga foil nikaipenda. Sijui nilikua nimelewa ndo maana nikapenda. Maana nilivyo na gubu wangeleta kitu cha ajabu ningewachambaa
Bora umekuja naomba tafsirialgebra hzooo ..hahaa
hahaa mimi darasa la 6B nayajulia wapi hayo mambo..?Bora umekuja naomba tafsiri
Hahah!! Wewe sio mweusi huko hizi habari nazipata vijiweni tuWe kila kitu unahadisiwa tuuuuu huwakuli ukawaona yaan nilivyoona post yako weusi umebaki kwenye makalio nikasema ebu ngoja nijiangalie labda kweli kuna weusi nakuta rangi moja [emoji57][emoji57]