Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ma2c ya rejareja
Haha basi naongezeka kwa 0.00001%Umeadimika kama nyongeza ya mshahara wa serikali...
Shikamoo uncleMpwa haujambo!
Nilikumiss bwana.
He. Kiswahili nilishafeli.
Hiyo siyo kali ni tamuu.hii kali aisee [emoji1787][emoji1787]
Sawa sawa mpwa....Shikamoo uncle
Mimi nipo kabisa. Umemissika pia
Hewaala hapo tunaenda samba samba.
Unijulishe yako basi mama nisije nikarudia kuja kwa mara ya pili.Jf ya sasa hivi imekuwa ni fire, hata wakongwe wanabadili I'd kuendana na muziki wa sasa. Sad
Eeh hiyo najua na kitukuu.Hiyo siyo kali ni tamuu.
Ulikuwa unajua baba mkwe anaitwa []bavyaa[/b] ?
Na mama mkwe mavyaa.
Ujue pia binamu wa kike ni bintiamu.Eeh hiyo
Eeh hiyo najua na kitukuu.
fiksi banaaaUjue pia binamu wa kike ni bintiamu.
Khaa... sio fiksi bhana ukweli kabisa tembelea TUKI [kamusi].fiksi banaaa
Mpya au ya zamani?Unijulishe yako basi mama nisije nikarudia kuja kwa mara ya pili.
heeeee. Mpaka nimechoka ghaflaKhaa... sio fiksi bhana ukweli kabisa tembelea TUKI [kamusi].