Africa tusipobadilika tutatawaliwa mpaka mwisho wa dunia
Viongozi wa afrika wanajilimbikizia mali.
Wanajali maslai yao na familia zao
Wanatunga sheria kandamizi kwa watu wa chini
Hawafati sheria zilizowekwa na kujipa madaraka kama Miungu
Huwa najuliza. Unawezaje kudai haki nje i.e kwa mataifa ya america au ulaya wakati wewe mwenyewe hutendi haki kwa watu weusi wenzio?? Ask yourself
Mkuu hongera kwa kufikia hatua hiyo ya ufahamu.
Chamsingi ambacho unapaswa utambue ni wewe kwanza kujifahamu, kama mwafrika, then okoa wanaokuzunguka.
Haya yote mkuu hayategemei siasa, ni ufahamu binafsi.Ndio siri ya yote.
Katika maisha yako mkuu kamwe usitegemee siasa au wanasiasa.
Binadamu yeyote yule ataishi katika uhalisia na vitendo na si siasa.
Siasa ipo kwa ajili ya kugawanya na kutawala, huku wanaonufaika wakiwa ni walio katika system ya siasa.
Pia, hata hao wanasiasa wa nchi za kiafrika hawatoweza kufanya maamuzi juu ya wanayofikiri kwasababu-
1. Hawajitambui, yaani ufahamu wa mtu binafsi.
2.Wanapenda material things kuliko living beings. Yaani fedha na kuongoza.
3. Hawawezi fanya maamuzi binafsi bila ya kupokea kutoka mataifa makubwa, yaani wanaongozwa pia. Ndio maana unakuta vitu hatarishi kwa jamii wanaviachia due to being forced to, mfano chanjo za watoto wakike wa shule za msingi za cancer, chanjo za ebola, hiv etc....
Sasa kama hao wanaowapa maagizo ndio wanao miliki benki yenu kuu, jeshi, taasisi za amani na afya, unadhani mwanasiasa wa afrika ataweza ongea jambo jema?
Binafsi sitaki siasa, sipendi siasa na hata kuijadili pia sipendi. We lose alot of energies talking politics, kwanini huo mda usijadili juu ya maisha yako, kwa kufanya taswira yako binafsi bila ya bugudha?
Nadhani utapata kitu hapa mkuu, pia uweze okoa wengine.