Goodbye our commander Umkontho

Goodbye our commander Umkontho

Koffi Annan, Thabo Mbeki, John PombeMagufuli kwa uchache, movement iko beyond politics, it's individuals like you and me,who will make a change....sahau kabisa siasa, jiangalie wewe, je wewe binafsi, unafanya nini, kuikomboa Africa
Kwa JPM nakubali ila hao wengine mmmhhh!!!! Mbeki kafanya nini? Annan kafanya nini?
 
Hii thread naiona hivi sasa. Better late than never.

Umkontho is a real hero, she still lives even now. Kama hamuamini nendeni mkasome content zake. If they wont change your view on viewing black peoples' origin,then your are a useless man.
Ataishi milele kwakua aliyoyapigania ni ukweli wote, na ukweli hujitetea wenyewe hata kama unaumiza.
Rest in power ,our beloved hero.
Contents zake zko wapi mkuu nikazisome?
 
Africa tusipobadilika tutatawaliwa mpaka mwisho wa dunia
Viongozi wa afrika wanajilimbikizia mali.
Wanajali maslai yao na familia zao
Wanatunga sheria kandamizi kwa watu wa chini
Hawafati sheria zilizowekwa na kujipa madaraka kama Miungu
Huwa najuliza. Unawezaje kudai haki nje i.e kwa mataifa ya america au ulaya wakati wewe mwenyewe hutendi haki kwa watu weusi wenzio?? Ask yourself
 
Mkuu hongera kwa kufikia hatua hiyo ya ufahamu.

Chamsingi ambacho unapaswa utambue ni wewe kwanza kujifahamu, kama mwafrika, then okoa wanaokuzunguka.
Haya yote mkuu hayategemei siasa, ni ufahamu binafsi.Ndio siri ya yote.

Katika maisha yako mkuu kamwe usitegemee siasa au wanasiasa.
Binadamu yeyote yule ataishi katika uhalisia na vitendo na si siasa.
Siasa ipo kwa ajili ya kugawanya na kutawala, huku wanaonufaika wakiwa ni walio katika system ya siasa.

Pia, hata hao wanasiasa wa nchi za kiafrika hawatoweza kufanya maamuzi juu ya wanayofikiri kwasababu-

1. Hawajitambui, yaani ufahamu wa mtu binafsi.

2.Wanapenda material things kuliko living beings. Yaani fedha na kuongoza.

3. Hawawezi fanya maamuzi binafsi bila ya kupokea kutoka mataifa makubwa, yaani wanaongozwa pia. Ndio maana unakuta vitu hatarishi kwa jamii wanaviachia due to being forced to, mfano chanjo za watoto wakike wa shule za msingi za cancer, chanjo za ebola, hiv etc....

Sasa kama hao wanaowapa maagizo ndio wanao miliki benki yenu kuu, jeshi, taasisi za amani na afya, unadhani mwanasiasa wa afrika ataweza ongea jambo jema?

Binafsi sitaki siasa, sipendi siasa na hata kuijadili pia sipendi. We lose alot of energies talking politics, kwanini huo mda usijadili juu ya maisha yako, kwa kufanya taswira yako binafsi bila ya bugudha?

Nadhani utapata kitu hapa mkuu, pia uweze okoa wengine.
 
thabo mbeki aliwakemea wazungu, kuhusu skendo ya ukimwi...aliwaambia walitutengenezea

Halafu wakamtengeneza zuma aje kuhalalisha kirusi chao feki cha hiv.
Kipindi Thabo Mbeki anawatangazia watu wa afrika kusini juu ya ufeki wa huo ugonjwa, wengi waliacha kutumia yale madawa ghafla,hali iliyopelekea wengi kufa.

Walipaswa wafanye full mind and body ditox wangepona kwani yale madawa ni sumu na ni addict pia.

Sasa wasingeweza fanya haya yote kwakua mainstream media hawa wauaji ndio wamezishikilia.

"Only the fittest of the fittest shall survive, stay alive"
 
Ni kweli kaka
 
Ni kweli kaka

Bora niseme ukweli niwe huru.

Kwa kupitia plan yao mbaya ya kuwapa hawa watoto wa primary cancer vaccine, wanatengeneza mazingira kwa jamii za kiafrika waamini kua cervical cancer ina ambukizwa, ili later walete madawa yao feki.

Wanajua kabisa kua cervical cancer kwa akina mama ni kutokana na matumizi ya mara kwa mara ya vidonge vya uzazi wa mpango, halafu wanawadanganya ili wapate upenyo kuharinu kizazi cha hawa watoto.

Ila pamoja na yote haya bado mwafrika yupo kanisani anaomba,analia, hadi anapiga ngumi ukutani kuiombea Israel.

Juzi tu hapa wametumia mainstream media kufanya tukio la kumbukumbu ya watoto walio uawa Soweto,SA kama mwanya wa kutangazia chanjo zao za cancer kwa watoto wakike.

Jamii inaangamia, unawashauri watu warudie asili zao wapone, ila ndip kwanza wanakutukana.

Sasa hivi watoto wanakufa miaka 10-15 kwa type 2 diabets, ila mtu unamwambia okoa familia yako na wanao kwa kurudia asili yako, anaenda kulia kanisani.

Mwenye masikio na asikie.
 
Imbecile is good, it can be reversed. But when screws are loose they are always loose. Senile 😀

Dada yangu mpendwa kwanini unachochea ugomvi wa maneno? Nini kitaokoa hii jamii ya kiafrika kwa ugomvi?

Unajua unakua kama mataifa makubwa yavyojifanya kupigania amani, wakati wao ndio wenye viwanda vya silaha.

Sasa kwanini unamnyanyasa mwenzako kwa maneno? Ni kitu gani tutanufaika nacho kama jamii?

Binafsi sitaki ugomvi wala kuusikia, sasa basi i dont harm you, you dont harm us. Just leave this thread in peace.

Wewe mwenyewe utasikia amani moyoni kwako.
Peacefully leave. Bila ugomvi.
 
Imbecile is good, it can be reversed. But when screws are loose they are always loose. Senile 😀
It depends, it could be amnesia,or any in variety of mental disorders which can be reverted, but the thing about imbeciles, they can't control their will deliberately, making it so hard to realize the very fact that they are imbeciles.
 
Back
Top Bottom