Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
Hiyo ndio ilikuwa vita na harakati ya Dada umkontho we Sizwe( rest in eternal peace, little darling)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakimbia???? Unanikumbusha kijana tajiri....na yesu...wana wa Miungu watapita katika tundu ya sindanoSawa ngoja tu ni baki na marasta Wangu huku mbezi
Sasa hunipi miongozo zaidi ya kunisema ,nafanyaje? Si bora nikae na marasta tu ,tupeane hadithi za wakush [emoji12]Unakimbia???? Unanikumbusha kijana tajiri....na yesu...wana wa Miungu watapita katika tundu ya sindano
those who can fly
Ndio tayari zoezi la mwongozo lishaanza...polepole NduguSasa hunipi miongozo zaidi ya kunisema ,nafanyaje? Si bora nikae na marasta tu ,tupeane hadithi za wakush [emoji12]
Sawa niko tayariNdio tayari zoezi la mwongozo lishaanza...polepole Ndugu
unawafaham sabatho nyamsenda,tina mfanga,rasta mhemshi?Far from it,
tupo strong, na Africa tutakapoiunganisha na kidonda cha somalia kitaponyeka
Na umkontho tutamkumbuka
Kwa JPM nakubali ila hao wengine mmmhhh!!!! Mbeki kafanya nini? Annan kafanya nini?Koffi Annan, Thabo Mbeki, John PombeMagufuli kwa uchache, movement iko beyond politics, it's individuals like you and me,who will make a change....sahau kabisa siasa, jiangalie wewe, je wewe binafsi, unafanya nini, kuikomboa Africa
Contents zake zko wapi mkuu nikazisome?Hii thread naiona hivi sasa. Better late than never.
Umkontho is a real hero, she still lives even now. Kama hamuamini nendeni mkasome content zake. If they wont change your view on viewing black peoples' origin,then your are a useless man.
Ataishi milele kwakua aliyoyapigania ni ukweli wote, na ukweli hujitetea wenyewe hata kama unaumiza.
Rest in power ,our beloved hero.
Africa tusipobadilika tutatawaliwa mpaka mwisho wa dunia
Viongozi wa afrika wanajilimbikizia mali.
Wanajali maslai yao na familia zao
Wanatunga sheria kandamizi kwa watu wa chini
Hawafati sheria zilizowekwa na kujipa madaraka kama Miungu
Huwa najuliza. Unawezaje kudai haki nje i.e kwa mataifa ya america au ulaya wakati wewe mwenyewe hutendi haki kwa watu weusi wenzio?? Ask yourself
thabo mbeki aliwakemea wazungu, kuhusu skendo ya ukimwi...aliwaambia walitutengenezeaKwa JPM nakubali ila hao wengine mmmhhh!!!! Mbeki kafanya nini? Annan kafanya nini?
you Better be senile than an imbecileGet some help, you are going senile.
thabo mbeki aliwakemea wazungu, kuhusu skendo ya ukimwi...aliwaambia walitutengenezea
Ni kweli kakaHalafu wakamtengeneza zuma aje kuhalalisha kirusi chao feki cha hiv.
Kipindi Thabo Mbeki anawatangazia watu wa afrika kusini juu ya ufeki wa huo ugonjwa, wengi waliacha kutumia yale madawa ghafla,hali iliyopelekea wengi kufa.
Walipaswa wafanye full mind and body ditox wangepona kwani yale madawa ni sumu na ni addict pia.
Sasa wasingeweza fanya haya yote kwakua mainstream media hawa wauaji ndio wamezishikilia.
"Only the fittest of the fittest shall survive, stay alive"
Imbecile is good, it can be reversed. But when screws are loose they are always loose. Senile 😀you Better be senile than an imbecile
Ni kweli kaka
Imbecile is good, it can be reversed. But when screws are loose they are always loose. Senile 😀
It depends, it could be amnesia,or any in variety of mental disorders which can be reverted, but the thing about imbeciles, they can't control their will deliberately, making it so hard to realize the very fact that they are imbeciles.Imbecile is good, it can be reversed. But when screws are loose they are always loose. Senile 😀