Please elaborate more on this!!...Enyi wa imani haba, wenye kubisha, mbona kaka enu Michael Jackson aliuliwa mwaka 1984, hamjui, na Mzungu akatengenezwa kuwa Michael Jackson wenu,mliyezika mwaka 2009☺☺☺☺☺☺☺
Cha kwanza mwanaume wa kizungu, hawezi kuzaa na mwanamke mswahili, watoto watoke waswahili pure....imekuwaje watoto wa michael, wote wazungu???Please elaborate more on this!!...
Sawa....naomba strong evidence juu ya hili na picha zikihusika tafadhali ili nipate kuelimika na kutoa huu ukungu kichwani mwangu
usitulize swali tunaona utuelimishe zaidiCha kwanza mwanaume wa kizungu, hawezi kuzaa na mwanamke mswahili, watoto watoke waswahili pure....imekuwaje watoto wa michael, wote wazungu???
Na wewe unaamini Mandela halisi alikufa Robben Island aliyetoka ni copy!?..Cha kwanza mwanaume wa kizungu, hawezi kuzaa na mwanamke mswahili, watoto watoke waswahili pure....imekuwaje watoto wa michael, wote wazungu???
wamezianzisha ili tuzidi kumalizana.Asante
Sikatai, Wala sikubali, make move alizozifanya baada ya kutoka,ziliwachanganya wengi waliomfahamu,na ninamaanisha from the inner circles, na wazungu hawashindwiNa wewe unaamini Mandela halisi alikufa Robben Island aliyetoka ni copy!?..
pole pole, pili je wajua hakuna Dr wala mamlaka iliyosaini, Wala kuthibitisha hati ya kifo ya kaka michael? Nyie amkeni,muelewe hii dunia inavyokwenda....Angelieni picha upya, aliyekufa hakuwa Michael original, na Wala hakuweza kufanya moonwalk, zile moves trade mark ya michael...huo ni mwanzo tu, tawa 'll etea datazoteusitulize swali tunaona utuelimishe zaidi
Hebu tuweke vzr hapapole pole, pili je wajua hakuna Dr wala mamlaka iliyosaini, Wala kuthibitisha hati ya kifo ya kaka michael? Nyie amkeni,muelewe hii dunia inavyokwenda....Angelieni picha upya, aliyekufa hakuwa Michael original, na Wala hakuweza kufanya moonwalk, zile moves trade mark ya michael...huo ni mwanzo tu, tawa 'll etea datazote
Wazungu ukiwafanyia kazi yao, wanakusifia na kukutukuza siku zote....ogopa marehemu mweusi akitukuzwa sana na wazungu......Sikatai, Wala sikubali, make move alizozifanya baada ya kutoka,ziliwachanganya wengi waliomfahamu,na ninamaanisha from the inner circles, na wazungu hawashindwi
Nakuja kaka, tutafika tu, hilo la michael mbona dogo...mengine mbona mkiletewa,mtakimbia, ama mtalia na kusaga meno????? Lengo ni kuwaasa, muamke, tuamke, sisi watu weusi, wenzetu hawatupendiHebu tuweke vzr hapa
Mie niko na wewe mwanzo mwisho,ktk kuamshana huku ,usiniache NJIANI tuNakuja kaka, tutafika tu, hilo la michael mbona dogo...mengine mbona mkiletewa,mtakimbia, ama mtalia na kusaga meno????? Lengo ni kuwaasa, muamke, tuamke, sisi watu weusi, wenzetu hawatupendi
Michael Jackson yule alikuwa fake kabisaSawasawa, tatu michael fake, vipimo ilivyopimwa maiti yake, ilionyesha urefu wa karibu nchi tano zaidi ya original michael, nyie ndugu. Zangu,tutalala hadi lini???? Nite kuuliwa mnaona raha tu, skendo za michael Jackson, mara ananajisi watoto, mara, pua imedondoka, mara kachubua ngozi, yaani wanautumia fursa hiyo, kuudhalilisha mno utu wa mtu mweusi, siye twacheka nao, kumbe hatujui wenzetu watucheka
Karibu, kwenye jukwaaMichael Jackson yule alikuwa fake kabisa
eeenheee mwaga mboga dada angu tufungue zaidiSawasawa, tatu michael fake, vipimo ilivyopimwa maiti yake, ilionyesha urefu wa karibu nchi tano zaidi ya original michael, hadi urefu na upana wa sikio, vilikuwa tofauti...nyie ndugu. Zangu,tutalala hadi lini???? Kaka etu kuuliwa mnaona raha tu, skendo za michael Jackson, mara ananajisi watoto, mara, pua imedondoka, mara kachubua ngozi, yaani wanautumia fursa hiyo, kuudhalilisha mno utu wa mtu mweusi, siye twacheka nao, kumbe hatujui wenzetu watucheka siye, lakini huwezi judgments watu wote siku zote, watu wanahoji, na kufanya utafiti, aliyekuvs mwaka 2008, Hakuwa Michael. Na sasa tutawaletea kisa chote, yaani we mwenzio anakupiga we hujui uko vitani? Ni lini tutaamka, tuuchukue mustakabali wa maisha yetu mikononi mwetu wenyewe?????
je zile habari zilizozagaa mitandaoni enzi hizo kwamba aliamua kufanyiwa surgery ili afanane na diana ross kwavile tu alikuwa anampenda huyu dada ni za kweli?Sawasawa, tatu michael fake, vipimo ilivyopimwa maiti yake, ilionyesha urefu wa karibu nchi tano zaidi ya original michael, hadi urefu na upana wa sikio, vilikuwa tofauti...nyie ndugu. Zangu,tutalala hadi lini???? Kaka etu kuuliwa mnaona raha tu, skendo za michael Jackson, mara ananajisi watoto, mara, pua imedondoka, mara kachubua ngozi, yaani wanautumia fursa hiyo, kuudhalilisha mno utu wa mtu mweusi, siye twacheka nao, kumbe hatujui wenzetu watucheka siye, lakini huwezi judgments watu wote siku zote, watu wanahoji, na kufanya utafiti, aliyekuvs mwaka 2008, Hakuwa Michael. Na sasa tutawaletea kisa chote, yaani we mwenzio anakupiga we hujui uko vitani? Ni lini tutaamka, tuuchukue mustakabali wa maisha yetu mikononi mwetu wenyewe?????
Ni kweli, na alifanya surgery moja tu....Ile sura ya thrillerje zile habari zilizozagaa mitandaoni enzi hizo kwamba aliamua kufanyiwa surgery ili afanane na diana ross kwavile tu alikuwa anampenda huyu dada ni za kweli?
'Nadhani' hp ndipo senema ilipoanzia ,nasubiri jibu la swali lakoje zile habari zilizozagaa mitandaoni enzi hizo kwamba aliamua kufanyiwa surgery ili afanane na diana ross kwavile tu alikuwa anampenda huyu dada ni za kweli?