Sawasawa, tatu michael fake, vipimo ilivyopimwa maiti yake, ilionyesha urefu wa karibu nchi tano zaidi ya original michael, hadi urefu na upana wa sikio, vilikuwa tofauti...nyie ndugu. Zangu,tutalala hadi lini???? Kaka etu kuuliwa mnaona raha tu, skendo za michael Jackson, mara ananajisi watoto, mara, pua imedondoka, mara kachubua ngozi, yaani wanautumia fursa hiyo, kuudhalilisha mno utu wa mtu mweusi, siye twacheka nao, kumbe hatujui wenzetu watucheka siye, lakini huwezi judgments watu wote siku zote, watu wanahoji, na kufanya utafiti, aliyekuvs mwaka 2008, Hakuwa Michael. Na sasa tutawaletea kisa chote, yaani we mwenzio anakupiga we hujui uko vitani? Ni lini tutaamka, tuuchukue mustakabali wa maisha yetu mikononi mwetu wenyewe?????