Goodbye our commander Umkontho

Hata wakisema mara mia.. kwa profile hayo maneno umeyaona kifoto hicho nimerusha?
Unakimbikia kuninukuu unafikiri sijasoma yaliyoandikwa..

Muwe mnafikiria nje ya boksi kwanza na sio kuja kuandika upupwu huku umeishia wewe kuchemka.. jione kwanza..

Eeeeeeh
Ndio maana wa nchi hii kqenye mengi wengi mtakuwa mikia tu milele msipojibadili
 
Mjuu kuu wangu usije nitusi bure, ujue mite mbabu? Usije kosa thawabu bure, kwa mwenyezi Mmngu, haikuwa maana yangu kukuudhi, samahani
 
Movement ipo, ila wewe ndio haupo katika movement...haikuwahi kukoma

mkuu mbona nimekuuliza hujanijibu nahitaji kujua hizo harakati zenu zina uhusiaano na za african american wsnaorudi africa? hebu msachi jamaa mmoja anaitwa Bomani tyehimba anaefanya movement ya repatrion in africa
 
Tuko pamoja nao, hilo ni tawi la Marcus garvey. Sisi tuna jishughulisha Na kuunda commons ideology, bridging gapes nakuondoa tofauti zetu, one motto: we are human, we are brothers
 
Tuko pamoja nao, hilo ni tawi la Marcus garvey. Sisi tuna jishughulisha Na kuunda commons ideology, bridging gapes nakuondoa tofauti zetu, one motto: we are human, we are brothers
Of course based on our roots
 
Umeona utoe kafara account moja.
Unaruhusiwa kuwaza upendavyo, wengine marehemu tulimfahamu! Lakini ukiambiwa yesu hakuzaliwa, hakuishi, hakusulubiwa wala kamwe hatorudi tena unabisha sana, Wala huhoji, ila unaona wepesi sana kusingizia watu wana multiple identities,na balali je mbona alizikwa ulaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…