Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
unajuaje ilikuwa ni ya nyerere, ya balali uliiona??Wooihy sijaelewa kabisa hii mada yako. Ila labda niseme tusingeona maiti ya Nyerere hata tusingeamini kama amefariki. Sasa huyo shosti wako aliyefariki unaulizwa habari zake wewe unaleta mambo za strawman hapa na hutoi majibu yanoyoeleweka. Hebu wacha hizi njerenje na shenanigans wee manzi.