Fillipina Bellini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 353
- 490
- Thread starter
- #81
Some still speculates, ati kwamba Fantasma, Fatima and the deceased Umkontho are one....how ironic...Hahaha Mkuu umewaza nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Some still speculates, ati kwamba Fantasma, Fatima and the deceased Umkontho are one....how ironic...Hahaha Mkuu umewaza nini?
Tupac nae, hivi yupo, hai?Unaruhusiwa kuwaza upendavyo, wengine marehemu tulimfahamu! Lakini ukiambiwa yesu hakuzaliwa, hakuishi, hakusulubiwa wala kamwe hatorudi tena unabisha sana, Wala huhoji, ila unaona wepesi sana kusingizia watu wana multiple identities,na balali je mbona alizikwa ulaya?
Wooihy sijaelewa kabisa hii mada yako. Ila labda niseme tusingeona maiti ya Nyerere hata tusingeamini kama amefariki. Sasa huyo shosti wako aliyefariki unaulizwa habari zake wewe unaleta mambo za strawman hapa na hutoi majibu yanoyoeleweka. Hebu wacha hizi njerenje na shenanigans wee manzi.Kuna watu wao kila kitu wabisha....basi hata Nyerere nae hajafa..ebwana ndio
haha haha wacha binadamu waumbe tu.Umeona utoe kafara account moja.
A city imekupenda zaidiWooihy sijaelewa kabisa hii mada yako. Ila labda niseme tusingeona maiti ya Nyerere hata tusingeamini kama amefariki. Sasa huyo shosti wako aliyefariki unaulizwa habari zake wewe unaleta mambo za strawman hapa na hutoi majibu yanoyoeleweka. Hebu wacha hizi njerenje na shenanigans wee manzi.
Itanipendaje zaidi kwani mimi ndiyo marihemu, au Uunajitia kunijua sana eeeh ?A city imekupenda zaidi
Maiti ya Yesu au Osama uliona, mpaka uamini wamefariki?Wooihy sijaelewa kabisa hii mada yako. Ila labda niseme tusingeona maiti ya Nyerere hata tusingeamini kama amefariki. Sasa huyo shosti wako aliyefariki unaulizwa habari zake wewe unaleta mambo za strawman hapa na hutoi majibu yanoyoeleweka. Hebu wacha hizi njerenje na shenanigans wee manzi.
Umejuaje kama mimi nawaamini hawa watu au umeropoka kwa strawman ingine ?Maiti ya Yesu au Osama uliona, mpaka uamini wamefariki?
Nafsi yangu inaniambia "mapema mno kuburuzana na hili yai"Umejuaje kama mimi nawaamini hawa watu au umeropoka kwa strawman ingine ?
Sawa sawa Shangazi denoo na wewe uwe na menopozi njema, usisahau kumsalimia bwana wako wa kipemba.Nafsi yangu inaniambia "mapema mno kuburuzana na hili yai"
Niiutakie hedhi njema.
Huyo marehemu uwepo wake tu ulikuwa na utata,ajabu hadi kifo chake bado pia kuna utata.Wooihy sijaelewa kabisa hii mada yako. Ila labda niseme tusingeona maiti ya Nyerere hata tusingeamini kama amefariki. Sasa huyo shosti wako aliyefariki unaulizwa habari zake wewe unaleta mambo za strawman hapa na hutoi majibu yanoyoeleweka. Hebu wacha hizi njerenje na shenanigans wee manzi.
Kwani lazima,ujue, na kuona maiti ya kila mtu? Mbona wengi tu, wameondoka bila kujulikana, Kuna mambo mengine, yako,hivyo, hivyo kama yalivyo...Itanipendaje zaidi kwani mimi ndiyo marihemu, au Uunajitia kunijua sana eeeh ?
tukutumie tiketi,ukaitembelee familia yake Botswana?Huyo marehemu uwepo wake tu ulikuwa na utata,ajabu hadi kifo chake bado pia kuna utata.
Halafu mtu ukiongea unaonekana kama una chuki.
Na wewe mwenyewe mbona utata, hivi tz mbogo we hasa ni nani?Huyo marehemu uwepo wake tu ulikuwa na utata,ajabu hadi kifo chake bado pia kuna utata.
Halafu mtu ukiongea unaonekana kama una chuki.
Huyu vipi?A city imekupenda zaidi