Goodbye our commander Umkontho

Goodbye our commander Umkontho

Ni kumkosea heshima marehemu, kama tulivyomfahamu, na wengine, eti alikufa kwa ngoma....haya ndugu, twawashukuruni....lakini kumbukeni, njia yetu sote
 
Unaruhusiwa kuwaza upendavyo, wengine marehemu tulimfahamu! Lakini ukiambiwa yesu hakuzaliwa, hakuishi, hakusulubiwa wala kamwe hatorudi tena unabisha sana, Wala huhoji, ila unaona wepesi sana kusingizia watu wana multiple identities,na balali je mbona alizikwa ulaya?
Tupac nae, hivi yupo, hai?
 
Kuna watu wao kila kitu wabisha....basi hata Nyerere nae hajafa..ebwana ndio
 
Hii thread naiona hivi sasa. Better late than never.

Umkontho is a real hero, she still lives even now. Kama hamuamini nendeni mkasome content zake. If they wont change your view on viewing black peoples' origin,then your are a useless man.
Ataishi milele kwakua aliyoyapigania ni ukweli wote, na ukweli hujitetea wenyewe hata kama unaumiza.
Rest in power ,our beloved hero.
 
Kuna watu wao kila kitu wabisha....basi hata Nyerere nae hajafa..ebwana ndio
Wooihy sijaelewa kabisa hii mada yako. Ila labda niseme tusingeona maiti ya Nyerere hata tusingeamini kama amefariki. Sasa huyo shosti wako aliyefariki unaulizwa habari zake wewe unaleta mambo za strawman hapa na hutoi majibu yanoyoeleweka. Hebu wacha hizi njerenje na shenanigans wee manzi.
 
A city imekupenda zaidi
 
Maiti ya Yesu au Osama uliona, mpaka uamini wamefariki?
 
Wooihy sijaelewa kabisa hii mada yako. Ila labda niseme tusingeona maiti ya Nyerere hata tusingeamini kama amefariki. Sasa huyo shosti wako aliyefariki unaulizwa habari zake wewe unaleta mambo za strawman hapa na hutoi majibu yanoyoeleweka. Hebu wacha hizi njerenje na shenanigans wee manzi.
Huyo marehemu uwepo wake tu ulikuwa na utata,ajabu hadi kifo chake bado pia kuna utata.

Halafu mtu ukiongea unaonekana kama una chuki.
 
Na wewe mwenyewe mbona utata, hivi tz mbogo we hasa ni nani?
 
Wasiojulikana vipi,mbona huhoji, mazishi yao????...sio kila kitu ni mjadala humu jf!!!!
huu uzi ni memoir ya mpenzi wetu...
 
Back
Top Bottom