Goodbye our commander Umkontho

Sababu, haziko katika mamlaka yetu, kuzitoa....
sasa kwanini mmeanzisha hii thread if you are not entitled to give out any information about the deceased person?.

by the way nilikuwa sijajua kama najadiliana na watu wenye imani ya kirasta.
i rest my case. [emoji377] [emoji377] [emoji377].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuko pamoja nao, hilo ni tawi la Marcus garvey. Sisi tuna jishughulisha Na kuunda commons ideology, bridging gapes nakuondoa tofauti zetu, one motto: we are human, we are brothers
Kwa viongozi hawa wa kiafrika mnadhani inaweza kuwa ni changamoto kwenu kushindwa kufanikisha hii movement?
 
Tuwekee link
 
tukutumie tiketi,ukaitembelee familia yake Botswana?
Huyo marehemu kama ana familia basi ni members tu wa JF na si vinginevyo,maana kiuhalisia sidhani kama kuliwahi kuwepo mtu wa aina hiyo.

Sasa unaonaje unitumie hiyo tiketi ili nionane na wewe?
 
Huyo marehemu kama ana familia basi ni members tu wa JF na si vinginevyo,maana kiuhalisia sidhani kama kuliwahi kuwepo mtu wa aina hiyo.

Sasa unaonaje unitumie hiyo tiketi ili nionane na wewe?
Ndugu, na familia yake,ni wengi mno duniani, wote wapenda haki, na ukombozi wa mtu,mweusi
Kuhusu ticketi, usijali, tutakuja sisi, kukuona wewe
 
We are more than Rastas.....way beyond, sisi ndio kina cha ukinani, wana kindakindaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…