Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
R.I.P Sizwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzuri km alipata wasaa wa kuandika na kutoa maagizo juu ya waraka wakeUtawasilishwa hapa, katika wakati muafaka sawa sawa na maagizo ya marehemu
Umkontho we SizweKuna aina ya watu humu duniani, ambao maisha yao ni kimyakimya,nyuma ya mapazia
Totally true!Signature ya mwisho ya Umkontho we Sizwe
"Black man the light of the world, progenitor of races..as it was in the beginning so shall it be in the end ... that he the black one shall restore order on the universe"
msiniambie kuwa ...huyu genius wakike naye mkubali Humu ndani..eti kafariki ""..!!?View attachment 801451
Ahmale Lerato Bonginkosi alias Umkontho We Sizwe: 26 July 1984-07 March 2018
Aisee ..umkontho ..kafariki.!!!!....siamini".. OMGMovement ipo, ndio huyo dada alikuwa mwanaharakati pia, mwaka Jana tulikuwa naepamoja humu jf.... movement ipo Moto....sema underground fire
Nalia mimi aisee...daaahh"" umkontho ..alimisaidia mnooo kujitambua zaidi kwakupitia movement zake ...daaah
poleni sana ..Fatima ..."" though naimani mtakipokea kijiti chake na kuzidisha harakati zaidi ""..mpaka MTU mweusi atoke shimoniKuna aina ya watu humu duniani, ambao maisha yao ni kimyakimya,nyuma ya mapazia
Inafurahisha, namna wat u wanaendelea, kuhisi hivyo, usichofahamu ni kwamba watu hawa walikuwa karibu mno, nashangaa watu,bila kujua muktadha wa response katika uzi husika, wameishia kuvumisha ghushi na uzushi huu, nawafahamu madada hawa watatu,tofauti kabisa
Waseme mara ngapi? Ya kwamba account hii Iko chini ya uangalizi wa wanasheria wake wakitoa fursa yenu ndugu kumwaga mwanaharakati huyu???? Na itafungwa completely baada ya siku chache zijazo?? Tumieni fursa hii kukumbuka msimamo na harakati yake badala ya kuzusha vitu visokuwa vichwa wala miguu???Jana ID yake ya humu ilikuwa active
Je wewe ndio unaiendesha au kuna mwingine au hajafa? Au sio yake alitumia?
Kama alikufa alizikwa wapi? Na lini?
Wekeni picha za msiba etc
View attachment 802351
Na wala hutapata chochote, kuna watu humu duniani, Hawako katika system, kwa sababu nyeti mbalimbaliNimesoma comments zote ila sijaambulia chochote labda nigoogle
Nini kimetokea mpaka akafariki? Je ni sababu ya movements zake?? Tungependa kumjua zaidi huyu silent heroNa wala hutapata chochote, kuna watu huhu duniani, Hawako katika system, kwa sababu nyeti mbalimbali
mkuu nimeuliza tuInafurahisha, namna wat u wanaendelea, kuhisi hivyo, usichofahamu ni kwamba watu hawa walikuwa karibu mno, nashangaa watu,bila kujua muktadha wa response katika uzi husika, wameishia kuvumisha ghushi na uzushi huu, nawafahamu madada hawa watatu,tofauti kabisa