Goodluck Gozbert kiroho yupo sahihi kuchoma gari soma hii.. 1Sam15-20

Mungu hapangiwi kufanya jambo, yeye hutenda kwa wakati wake. Usitumie matako kutafari... Matako kazi yake ni kukalia ewe kiumbe usiye tumia akili
Inaonekana akili zako ziko mapumzikoni, ndiyo maana unajitahidi kutumia nguvu za matako kufikiri.

Wakati wengine tunajenga hoja za maana, wewe umebaki unasugua maneno yasiyo na mashiko.

Kweli ukitaka kujua nani hana akili, mtazame anavyohangaika kuonyesha kuwa anazo.

Umetoka wapi na huu upuuzi unaofanana na mzaha wa mtoto mdogo?

Tafadhali rudi ulipoacha akili zako, kwa sababu hapa unatumia nguvu zako bure.

Dunia haina nafasi kwa watu wanaotumia kichwa kama mapambo.

Jiibu hoja usinijibu mimi.

Mungu ni nani?

Alitoka wapi?

Yuko wapi kwa sasa?

Umuhimu wa uwepo wake ni upi?
 
Huyo Gozibeti ameshindwa kulitakasa hilo gari kwa damu ya yesu likawa salama kwa matumizi?

Mungu wenu mbona mswahili sana
Hapo ndo shida ya walimwengu, Kosa afanye mwingine ila lawama unampa Mungu. God is a King Spirit. Amesema kila apandacho mtu ndicho atakachovuna. Wewe ndo unaipangia kazi Damu ya Yesu ?

Hiyo gari alipewa 2021.

Je, Mungu mjuzi wa yote alishindwa kumpa maono kabla hajalipokea?
Una uhakika hakuonywa kabla? Alichofanya kinaweza kuwa sio sahihi kwetu lakini pengine ameona hiyo ndo gharama ya yeye kuwa na amani moyoni mwake kwa hiyo siwezi kumhukumu. Sijui hata imekuwaje ukamuingiza Mungu kwenye hili
 

Baba alinikataza kubishana na watoto wa kike 😎
 
Acha wafu waziKane wenyewe
 
Baba alinikataza kubishana na watoto wa kike 😎
Inaonekana baba yako alikufundisha kukwepa hoja kwa sababu labda yeye mwenyewe alikua hana uwezo wa kuzimudu.

Ni urithi wa kuogopa changamoto ya kukabiliana na hoja nzito.

Coward 😂🫵🏿

Kama we mwanaume jenga hoja, usikwepe.

Jibu hoja zangu ili nijue kama wewe ni mwanaume mwenzetu au gasho niku🚮.
 
We una ukimwi kwani?
 
Huyo Gozibeti ameshindwa kulitakasa hilo gari kwa damu ya yesu likawa salama kwa matumizi?

Mungu wenu mbona mswahili sana
Huwezi kutakasa haram agano lako na shetani unalitakasaje? Shetan hana nafasi yakutubu isipokuwa binadam
 
Huyo Gozibeti ameshindwa kulitakasa hilo gari kwa damu ya yesu likawa salama kwa matumizi?

Mungu wenu mbona mswahili sana
Alipata maelekezo kuwa asimpe mtu yoyote hilo gari ndiyo akalichoma. Ameeleza vzr sana kwenye you tube
 
Ile kupokea tu alishajiungamanisha na madhabahu ya huyo geordave
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…