Aijalishi upo kwenye imani gani ila kwa Miungu na mitume wote ujumbe ni mmoja tu "Mpende jirani yako kama nafsi yako"....Ukisema unampenda mtu bila matendo si kitu....Matendo ndiyo kipimo pekee...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati akijipanga kukujibu na mimi naweka maswali
1. Hivi mtu akija naaimba maneno Ysu ni mwokozi halafu yuko uchi vuuu lile na pipe kama sio papuchi unaiona ileee. Je anaimba gospel?
2. Je nikaimba na demu halafu nasikitika jinsi nilivyokuwa nawapiga vidole halafu naonyesha namoiga kidole demu sitejini au namuinamisha kuonyesha maisha yangu ya dhambi nilivyokuwa nawafanya, je nitakuwa naimba Gospel?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwambia nitajie msanii wa tanzania unayemkubari kuwa anaimba Gospel, halafu tulinganishe style anayoimba na ya miaka ya 50 au 30 tuone kama anaimba sawa na miaka hiyoNafaka Gospel haijabadilika kaka ila watu ndio tumebadilika...Gospel ni Injili ya kweli ya Mungu..haijawahi badilika brother.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwambia nitajie msanii wa tanzania unayemkubari kuwa anaimba Gospel, halafu tulinganishe style anayoimba na ya miaka ya 50 au 30 tuone kama anaimba sawa na miaka hiyo
Everyone is entitled to their own opinion Waberoya....Asantw kwa kuchangia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwambia nitajie msanii wa tanzania unayemkubari kuwa anaimba Gospel, halafu tulinganishe style anayoimba na ya miaka ya 50 au 30 tuone kama anaimba sawa na miaka hiyo
Taja mwimbaji wa injili mwenye wito, mmoja tu ambaye hapigi hela
Au kwaya ambayo wajumbe wake wote wana wito 100%
Weka vigezo vya kuwa na wito...na wewe kama binadamu unajuaje? Unless useme hakuna na sio katika hawa tunaowasikia maredioni
Kwa nini hao waliojazwa Roho Mtakatifu wanazipenda? Woote wanaoziimba nao ni wadhambi tu?
Imeandikwa: mti mwema hujulikana kwa matunda yake.
Kwa hiyo mwimbaji mwenye wito atajulikana kwa matunda yaani tabia na mwenendo wake wa ndani na nje.
Kuhusu nyimbo kupendwa na wengi hiyo si hoja.
Wingi si hoja.
Hata njia iendayo upotevuni ni pana nao waingiao ni wengi, kwa hiyo nyimbo kupendwa na watu wengi si hoja.
Misingi imeharibika , mwenyehaki hajui afanye nini.
Tujitafakali njia zetu na kuchukua hatua ya mafundisho sahihi.
Imeandikwa: “ninyi mkilishika Neno langu mmekuwa wanafunzi wangu kweli kweli”
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyu dogo si ndio producer Lolipop alietengeneza ule wimbo wa 'bhasi Nenda' au ni watu 2 tofauti??Habari wana JF,
Moja kwa moja kwenye mada, kama tujuavyo neno Gospel maana yake ni Habari njema kwa watu wote (kutokana na imani ya kikristo). Na kuna waimbaji wengi (hatuwaiti wasanii maana hamna usanii kwenye dini) wanaimba kama njia ya kumtumikia Mungu.Wapo wengi kama kina Bahati Bukuku, Rose Muhando,Christina Shusho n.k
Mwanzo nilikuwa nasita kupinga kuwa Goodluck gozbert sio muimbaji wa Injili ila ni mziki wake ni wa Bongo flavour tu. Hili linajidhirisha vyema kupitia nyimbo yake ya 'Nibadilishe' ambayo ndani yake mahadhi ya nyimbo na style za kucheza hazitofautiani na zile za kina Harmonise, Diamond, Burna Boy n.k. Hii inaniaminisha kuwa huyu si muimbaji wa gospel bali anafanya Bongo flavour kwa kivuli cha dini. Kama hujaona wimbo huo...Angalia kwenye link hapa chini....
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapotaja mahadhi unagusa beat na melody, usikane ulichokiandika mwenyeweSijazungumzia beat wala vyombo vilivyotumika kwenye wimbo Hassan Mambosasa, wala sijazungumzia aina ya uimbaji. Nazungumzia matendo yaliyopo kwenye wimbo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyu dogo si ndio producer Lolipop alietengeneza ule wimbo wa 'bhasi Nenda' au ni watu 2 tofauti??
Sent using Jamii Forums mobile app