Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
- Thread starter
- #21
Asante Mkuu nimekuelwa.Kama utafikisha vigezo vya kulipwa na Google adsense kuna njia 3 za kupokea pesa zako uliofanikiwa kutengeneza.
Njia ya kwanza kupitia western union
Njia ya pili ni bank wire transfer ambayo mimi huwa na itumia kwa sababu inanipa taharifa kupitia simu yangu ya mkononi kwamba kuna pesa imeingia kwenye account yangu ya bank, njia hii unachotakiwa kufanya unaenda kwenye bank yako usika au utawapigia simu ila uzuri uwende ukaombe SWIFT codes Ambazo utazijaza kwenye Google adsense yako na account number ya Bank.
Njia ya tatu ni PayPal account njia hii kwetu ni ngumu kupokea pesa kwa sababu serikali yetu hajakubaliana kupokea pesa kupitia mfumo huu.
Kupata PIN kutoka Google adsense inachukua siku 14 tu ila kwangu ilichukua siku 7 nilikuwa tayari nimeshazipata
Njia ya kupata PIN nilitumia Anuani ya P.O Box amalo unalotumia na kama hauna basi unaweza kufungua la mtu Binafsi kwa kipindi nilichofungua mimi ilikuwa 27,000/= ila kwa sasa sijui.
Kwanini huwa wanakutumia PIN?
Google wanataka kuakikisha sehemu uliopo kwa sababu kuna mataifa hawana maelewano mzuri kibiashara na ndiomaana ufanya ivyo.
Ila kupokea pin pia unaweza tumia Sanduku la posta la shule kwa kwa kuongea na shule husika ukazipata vyema.