Google Adsence Special Thread: Tupeane Maoni, ushauri na Ujanja

Kama utafikisha vigezo vya kulipwa na Google adsense kuna njia 3 za kupokea pesa zako uliofanikiwa kutengeneza.

Njia ya kwanza kupitia western union

Njia ya pili ni bank wire transfer ambayo mimi huwa na itumia kwa sababu inanipa taharifa kupitia simu yangu ya mkononi kwamba kuna pesa imeingia kwenye account yangu ya bank, njia hii unachotakiwa kufanya unaenda kwenye bank yako usika au utawapigia simu ila uzuri uwende ukaombe SWIFT codes Ambazo utazijaza kwenye Google adsense yako na account number ya Bank.

Njia ya tatu ni PayPal account njia hii kwetu ni ngumu kupokea pesa kwa sababu serikali yetu hajakubaliana kupokea pesa kupitia mfumo huu.

Kupata PIN kutoka Google adsense inachukua siku 14 tu ila kwangu ilichukua siku 7 nilikuwa tayari nimeshazipata

Njia ya kupata PIN nilitumia Anuani ya P.O Box amalo unalotumia na kama hauna basi unaweza kufungua la mtu Binafsi kwa kipindi nilichofungua mimi ilikuwa 27,000/= ila kwa sasa sijui.

Kwanini huwa wanakutumia PIN?
Google wanataka kuakikisha sehemu uliopo kwa sababu kuna mataifa hawana maelewano mzuri kibiashara na ndiomaana ufanya ivyo.
Asante Mkuu nimekuelwa.

Ila kupokea pin pia unaweza tumia Sanduku la posta la shule kwa kwa kuongea na shule husika ukazipata vyema.
 
Ukitegemea audience wa bongo utaishia kupa lower cpm
Kweli lakini kuna baadhi ya content za Kiswahili zinaweza kupenya hata nje ya Bongo japo kwangu hao ndio target ya kwanza.
 
Duuh humu kuna madini naomba miangalie blogu yangu mpya alafu mnambie kama ninaweza pata matangazo www.issazilla.com
AdSense wataikataa blogu yako Kwa sababu unakopi(scraping) contents na post zina maneno machache. Kopi image au maneno zenye copyright ya Creative Commons tofauti na apo usikopi kama unataka Google wakukubalie.

Haya maneno nimeona kwenye blog yako na YouTube.
"Sun !" HOTEL TRANSYLVANIA 4: Transformania #shorts The 4th installment of the franchise, Hotel Transylvania: Transformania dives into the relationship between Dracula and his goofy, human son-in-law Johnny (Samberg). As Dracula plans to retire and gift his beloved Hotel Transylvania to his daughter Mavis (Gomez), he changes his mind at the last minute -worried that Johnny will ruin what he has built. Disappointed that Dracula still doesn’t embrace Johnny as a member of his family, Johnny seeks help from Van Helsing (from third film) and successfully turns himself into a monster. In the wake of transforming himself, however, Johnny changes Dracula and his band of monster side-kicks –Blobby, Frankenstein, Mummy, Wayne, and the Invisible Man – into humans. Dracula and Johnny set out together to find a secret crystal that will help turn them back accordingly, while learning to rely on and appreciate each other along the way. Written and directed by Genndy Tartakovsky, this film brings all of the beloved Hotel Transylvania characters together for a funny, heartfelt journey with a positive message for the whole family. Van Helsing's mysterious new invention transforms Drac and his pals into humans, and Johnny into a monster. With their new mismatched bodies, Drac and the pack must find a way to switch themselves back before their transformations become permanent.
 
Mkuu kwa mfano ukawa unaandaa content kwa Kiswahili harafu unaenda kupest kwenye Google Translate then ukakopy labda kwa kutaka kubadili ili yawe kwa kingereza harafu ukakopy.

Hivi hapo Google AdSense watachukulia kama unafanya kukopy.
 
Vipi ile nyingine? Au unapiga kote kote usichanganye Mambo.

Harafu kama hii ni mpya domain name umelipia kiasi gani na umenunua wapi.
Ile ipo sema nimeachana nayo ipoipo tu kurudisha faida hii mpya ndio ya adsense
 
AdSense wataikataa blogu yako Kwa sababu unakopi(scraping) contents na post zina maneno machache. Kopi image au maneno zenye copyright ya Creative Commons tofauti na apo usikopi kama unataka Google wakukubalie.

Haya maneno nimeona kwenye blog yako na YouTube.
"Sun !" HOTEL TRANSYLVANIA 4: Transformania #shorts The 4th installment of the franchise, Hotel Transylvania: Transformania dives into the relationship between Dracula and his goofy, human son-in-law Johnny (Samberg). As Dracula plans to retire and gift his beloved Hotel Transylvania to his daughter Mavis (Gomez), he changes his mind at the last minute -worried that Johnny will ruin what he has built. Disappointed that Dracula still doesn’t embrace Johnny as a member of his family, Johnny seeks help from Van Helsing (from third film) and successfully turns himself into a monster. In the wake of transforming himself, however, Johnny changes Dracula and his band of monster side-kicks –Blobby, Frankenstein, Mummy, Wayne, and the Invisible Man – into humans. Dracula and Johnny set out together to find a secret crystal that will help turn them back accordingly, while learning to rely on and appreciate each other along the way. Written and directed by Genndy Tartakovsky, this film brings all of the beloved Hotel Transylvania characters together for a funny, heartfelt journey with a positive message for the whole family. Van Helsing's mysterious new invention transforms Drac and his pals into humans, and Johnny into a monster. With their new mismatched bodies, Drac and the pack must find a way to switch themselves back before their transformations become permanent.
DUUH!
 
Mkuu kwa mfano ukawa unaandaa content kwa Kiswahili harafu unaenda kupest kwenye Google Translate then ukakopy labda kwa kutaka kubadili ili yawe kwa kingereza harafu ukakopy.

Hivi hapo Google AdSense watachukulia kama unafanya kukopy.
Sina uhakika nalo ila zingatia mpangilio wa grammar kwa sababu google translate wakati mwingine inatafsiri ndivyo sivyo na wanaofanya review za tovuti zinazoomba adsense ni watu wa kawaida.

Na pia inabidi ucheki plagiarism zipo online tools kama smallseo zinazocheki kama maudhui yamekopiwa.
Adsense upande wa blog ni rahisi kupata approve jipe muda kutafiti unachotaka kukiandika ili utengeneze mada unique.

Kwa mfano kuna topiki unaweza pata vitu vya kuandika na havina ushindani hata upande wa SEO.
Mada kama "electric car in africa" haina ushindani na unaweza kuelezea experience yako kwenye nchi kama tanzania kwenye vitu kama umeme, vipato vya watu, barabara, miundombinu ya kuchaji, mafundi wa ku-repair nk

Experience yako ni unique.
 
Asante Mkuu ngoja tuendelee kujishughulisha polepole
 
Google yashusha pigo kwa Urusi

Sera za uchumaji wa mapato kwenye kituo cha YouTube.

Kwa kuzingatia janga la Ukraini, tunasitisha uchumaji wa mapato wa YouTube kwenye vituo vya habari vinavyofadhiliwa na serikali ya Shirikisho la Urusi.

Tutaendelea kufuatilia kikamilifu hali hiyo na kufanya marekebisho inapohitajika
 
Tahadhari kwa YouTubers
 
Back
Top Bottom