Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Wewe tuliza kipago simu yako kama Tecno tu[emoji28][emoji28]
 
Nimejaribu kwa Samsung M11 ya wife napo imenigomea
 
Nimejaribu kwa Samsung M11 ya wife napo imenigomea
Hizo M/J/A hazina support nzur ya gcam.. mostly hata camera api ziko disabled na developer hazina
 
boss natumia samsung galaxy m20 na nimeiupgrade to android 10 naomba nisaidie direct link ya ku download hii boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…