Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Redmi note 8
Gcam night shot
IMG_20200701_223124.jpg
 
Natumia Oppo ax5s

Matokeo ya hio app hiyo

Naombeni mnisaidie nifanikishe hilo jambo

Nimeona process ndefu za kufanya ili hio camera ikae

Kama mtu yupo fresh nimfate anifanyie nitamtoa cha usumbufu ila asiiroot tu simu yanguView attachment 1487518
Wewe tuliza kipago simu yako kama Tecno tu[emoji28][emoji28]
 
Nimejaribu kwa Samsung M11 ya wife napo imenigomea
 
Nimejaribu kwa Samsung M11 ya wife napo imenigomea
Hizo M/J/A hazina support nzur ya gcam.. mostly hata camera api ziko disabled na developer hazina
 
boss natumia samsung galaxy m20 na nimeiupgrade to android 10 naomba nisaidie direct link ya ku download hii boss
 
Back
Top Bottom