Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roger that.A30 gcma haipo stable..vuta subira
Yeye ameshusha na imekaa anavyodaiInfinix hizi ni mtk..gcam na mtk paka na panya...kuna simu chache za mtk zinazo support gcam..kuna oppo na redmi note 8
Nitamwambia then nitaweka hapaMwambie akutumie picha zake uziweke hapa
Yake icon yake hiyo pembeni ya stock camNitamwambia then nitaweka hapa
Hii ni gcam for go edition os...huwa inakuja kama stock kwa wale weny google go os edition...Nitamwambia then nitaweka hapa
Kapiga inaonekana hiviHii ni gcam for go edition os...huwa inakuja kama stock kwa wale weny google go os edition...
Nimeifuatilia hii port inafanya kaz kweny simu nying... hivyo wale wenye changamoto ya kukosa gcam basi hii Go camera ni replacement kwenu
Parrot ametoa mod yake...hii hapa
https://f.celsoazevedo.com/file/cfiles/gcm1/CameraGo.apk
Wote mliokosa gcam pakuen hiyo.. results sijajua zikoje...mtaoweka mtupe mrejesho
Mkuu unaua!watu wa Tecno fanya kama unanyoosha mkono na kupeleka kwenye kidevu........
Unacheza game ya clash of clans [emoji119] nalipenda sana hilo game.Nitamwambia then nitaweka hapa
Sio mimi mkuu ni rafiki yangu huyo, me hata snake xenzia na sudoku lake yamenishinda.Unacheza game ya clash of clans [emoji119] nalipenda sana hilo game.
Kule ipo ya simu zao tu...hizi ports zipo kweny site flan googleMkuu gcam haipatikani kwenye play store?
Yaa nakubali hilo...ndio mana nikasema hyo ni kama mbadala tu wale ndugu walikosa kabisa... huenda wakafurah hata hiyo icon ikikaa tu pale mbele...[emoji3]ubora wa picha huwezi kufananisha na Gcam mkuuu