Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

HATA UWE NA CAMERA KALI VP KAMA HUJUI NAMNA YA KUPATA ANGLE NZUR YA KUPIGIA PICHA NI KAZ BURE
 
Mkuu kuna jamaa anauliza kama kuna gcam version ya infinix note 7
Infinix hizi ni mtk..gcam na mtk paka na panya...kuna simu chache za mtk zinazo support gcam..kuna oppo na redmi note 8
 
Nitamwambia then nitaweka hapa
Hii ni gcam for go edition os...huwa inakuja kama stock kwa wale weny google go os edition...

Nimeifuatilia hii port inafanya kaz kweny simu nying... hivyo wale wenye changamoto ya kukosa gcam basi hii Go camera ni replacement kwenu

Parrot ametoa mod yake...hii hapa

https://f.celsoazevedo.com/file/cfiles/gcm1/CameraGo.apk

Wote mliokosa gcam pakuen hiyo.. results sijajua zikoje...mtaoweka mtupe mrejesho
 
Kapiga inaonekana hivi
 

Attachments

  • photo5823426336105018422.jpg
    67.9 KB · Views: 5
ubora wa picha huwezi kufananisha na Gcam mkuuu
Yaa nakubali hilo...ndio mana nikasema hyo ni kama mbadala tu wale ndugu walikosa kabisa... huenda wakafurah hata hiyo icon ikikaa tu pale mbele...[emoji3]

Kwanza ina mb 8..haiwez fata gcam yenyew

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…