Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Mkuu realme X inaweza ikawa na Gcam?


Jarbu hizi moja wapo
 
Yani ww inabid nikupe page moja ina gcam kama 10 ujarbu[emoji3]
Fanya Maajabu banah,, ucje achiwa raana, weee si ni Chief Developer
Fanya hata kuitengeneza kikombe hiki cha raana kikuepuke
 
Naomba niongeze kitu mkuu... Google camera (Google phones) ndio simu za kwanza kuweza kupiga picha katika portrait mode yenyewe ikiita Len's blur kwa kutumia camera moja tuu .... Simu zingine kama Samsung, Iphone, Huawei, Nokia, Xiaomi n.k zilikua zikihitaji kuanzia Camera mbili na kuendelea kwa ajili ya portrait mode
 
Yes mkuu..jamaa wana camera algorithms kari sana...

Ndomana hata zile ported version za gcam kweny simu zenye camera moja tu nazo zinatoa portrait kama kawa...wakat saiz simu nying ziko na camera special kwaajili ya portrait...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…