Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Mkuu naweza pata ya one plus 7pro na redmi 5plus?
Pita hapo....hizo ni compatible stable version za oneplus 7 seriz...

Ili mambo yawe mazur zaid utatkiwa kudownload na config files kisha unaziload kweny gcam

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Hebu jarbu hii

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Yan tangu iwe updated to 10 Google camera inapga picha mbil tatu then inkua aisave tena picha
 
Pita hapo....hizo ni compatible stable version za oneplus 7 seriz...

Ili mambo yawe mazur zaid utatkiwa kudownload na config files kisha unaziload kweny gcam

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Poapoa..thanks alot[emoji120]
 
Back
Top Bottom