Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Hiyo mkuu
priceprice_gadget-20210104-0001.jpg
 
Wakuu. NAOMBENI link ya gcam kwenye oppo f9 PRO
Jarbu kupita hapa kuna gcam kama 4 tofaut

Jarbu moja moja hadi upate itayotulia

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Si mnunue tu iPhone pro shida ya nini[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Si mnunue tu iPhone pro shida ya nini[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Hao iphone hawajfikia hata nusu ya tech ya google camera...hivi unajua pixel ndio simu ya kwanza kupiga potrait kwa camera moja tu unalijua hilo? Hao iphone night sight haifikii hata nusu ya gcam unajua hilo? Kwnye high dynamic range huku kuna plus unafaham? Iphone wana Astrophotography?

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom