Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Mkuu natumia Nokia 6.1 plus nime install Gcam sasa kwangu kama ina crush hivi,mbona nikipiga picha tu kama 5 hivi zinazofuata baada ya hapo hazionekani kwa gallery

Nikitaka kupiga tena hizo picha kama 5 hivi lazima nizime simu na kuwasha tena yaani ndo imekuwa kama mchezo.
 
Pole mkuu unatumia gcam version ipi? Na ni ya developer gani?

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…