Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Asee nimefurahi sana kukutana na huu uzi. Shukrani sana mwanzilishi.

Binafsi nikinunua simu yeyote ya Android, lazima nitafute GCam apk ni'sideload.

Currently natumia GCam v. 7.3.018 on Pocophone f1. Nimejaribu kutafuta most recent version, nikapata moja sema ikawa ina'crash on the launch.

Kama utaweza pendekeza apk stable nitashukuru. Simu ni Pocophone F1, Android 10, Snapdragon 845.
 
Karibu mkuu

Ni kwel 7.3 ndio kuna stable Nying za poco f1..unatumia 7.3 ya developer gan?

Anyways kuna 7.4 hii minmod base kutoka kwa parrots v5 dev ni mwana mmoja anaitwa urikill


Jarbu hiyo

Lakin kuna 7.3 ya urnyxy nayo tamu tu

Urnyx05: GCam_7.3.018_Urnyx05-v2.5.apk ambayo iko na config files zake hizi hapa


Nafkr unajua kuload config files kweny gcam..hizi config zmebeba best settings kutoka kwa developer..

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…