Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Upo sahihi mkuu,hapo kwenye settings ndo mtihani Kwa watu wengi....
Mtu anaiweka akidhan atapiga picha nzur anasahau anatakiwa aitwist
 
Upo sahihi mkuu,hapo kwenye settings ndo mtihani Kwa watu wengi....
Mtu anaiweka akidhan atapiga picha nzur anasahau anatakiwa aitwist
Yes mzee..na ina setting kibao[emoji3]

Uzur skuiz kuna gcam zenye configs...hii inakua rahis una download configs unaload kwako unapata zile best setting

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Camera ya 108mp na 48mp tofauti yake ni ipi inayoonekana kwa mtumiaji wa kawaida?
Kinacho matter zaidi ni size ya sensor. Ndio maana unakuta 48MP zingine zinazidiwa quality na 12MP sensors. Kma camera ya 108MP itakua na sensor size ndogo kuliko ya 48MP, hyo 48MP itakua na quality nzuri ila resolution ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…