Mzee naona bonge la potrait..noma sana[emoji91][emoji91]Mambo ya gcamView attachment 1776732
Hatariii sana kakaMzee naona bonge la potrait..noma sana[emoji91][emoji91]
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Kaliii na simu ganiMambo ya gcamView attachment 1776732
Hivi mkuu Kwa nini portrait mode in self camera inafanya poa kuliko kwenye main camera? Naona Hilo kwenye stock camera yangu na hata gcam nilonayoMzee naona bonge la potrait..noma sana[emoji91][emoji91]
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Samsung A70 mkuuKaliii na simu gani
Hili swali hata mimi huwa najiulizaHivi mkuu Kwa nini portrait mode in self camera inafanya poa kuliko kwenye main camera? Naona Hilo kwenye stock camera yangu na hata gcam nilonayo
Dhaaa kumbe ulipata ya a70,maana nilikuwa nasikia izi series za A ni mtihani,ujawai pata ya a51??Samsung A70 mkuu
Kweli ni mtihani mkuu but kuanzia A50 nakuendelea zinapatikana tu mbona mzee.me nilipopitia huu uzi nikasoma comment za watu then mikahamia google nikasearch gcam ya camera yangu nikapata.Dhaaa kumbe ulipata ya a70,maana nilikuwa nasikia izi series za A ni mtihani,ujawai pata ya a51??
Keyword nzuri ni ipi nitumie kusearch google ili kupata ya simu yangu kwa urahisiKweli ni mtihani mkuu but kuanzia A50 nakuendelea zinapatikana tu mbona mzee.me nilipopitia huu uzi nikasoma comment za watu then mikahamia google nikasearch gcam ya camera yangu nikapata.
Aisee mkuu mm naona kote unyama tu...kama una shida kwako itabd upate gcam yenye setting za potrait utwist kidgoHivi mkuu Kwa nini portrait mode in self camera inafanya poa kuliko kwenye main camera? Naona Hilo kwenye stock camera yangu na hata gcam nilonayo
Andika gcam then aina ya simu yako zitakuja kibaoKeyword nzuri ni ipi nitumie kusearch google ili kupata ya simu yangu kwa urahisi
Labda pengine inawezekanaAisee mkuu mm naona kote unyama tu...kama una shida kwako itabd upate gcam yenye setting za potrait utwist kidgo
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Ni hatareee mzee kuna moja nilipiga utfikiri mchana na hakuna flash niliwashaHii picha niliipiga na Gcam Night Sight ni shidaView attachment 1779295
Kama mchana.mkuuHii nilipiga saa usiku bila flash na hii sehem hakuna mwanga wa kutoshaView attachment 1779912