Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Raha ya gcam
status_me_status_IMG-20210507-WA0003.jpg
 
Dhaaa kumbe ulipata ya a70,maana nilikuwa nasikia izi series za A ni mtihani,ujawai pata ya a51??
Kweli ni mtihani mkuu but kuanzia A50 nakuendelea zinapatikana tu mbona mzee.me nilipopitia huu uzi nikasoma comment za watu then mikahamia google nikasearch gcam ya camera yangu nikapata.
 
Kweli ni mtihani mkuu but kuanzia A50 nakuendelea zinapatikana tu mbona mzee.me nilipopitia huu uzi nikasoma comment za watu then mikahamia google nikasearch gcam ya camera yangu nikapata.
Keyword nzuri ni ipi nitumie kusearch google ili kupata ya simu yangu kwa urahisi
 
Hivi mkuu Kwa nini portrait mode in self camera inafanya poa kuliko kwenye main camera? Naona Hilo kwenye stock camera yangu na hata gcam nilonayo
Aisee mkuu mm naona kote unyama tu...kama una shida kwako itabd upate gcam yenye setting za potrait utwist kidgo

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Wajuzi vipi mimi ninatumia Huawei Google nexus 6p android 8.1 yaan imebidi niweke Gcam mbili aisee moja ni ya Devoloper wa Camera Go ili kwa ajili ya Nightsight halafu na camera 5.2 kwa ajili ya HDR + siwezi apk moja tuuu
 
Back
Top Bottom